Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,130
- 7,536
Ndo huwa iko ivyoo eeeh??[emoji119][emoji119][emoji119]Eeee ndy muda mwngne kuwa nae mbali ili umpe nafas na yey ya kukuwaza na kukosa uwepo wako
Ndo huwa iko ivyoo eeeh??[emoji119][emoji119][emoji119]Eeee ndy muda mwngne kuwa nae mbali ili umpe nafas na yey ya kukuwaza na kukosa uwepo wako
😃😃 Huzijui hizo mbinu za kibahariaNdo huwa iko ivyoo eeeh??[emoji119][emoji119][emoji119]
Kibaharia tena,[emoji41][emoji41][emoji41] japo mi sio baharia ila ukinipatia moja itapendeza sana.[emoji2][emoji2] Huzijui hizo mbinu za kibaharia
Ndio mkuu, mimi nakulilia wewe....[emoji28]Hivi kuna watuu bado wanalilia mapenziii?
Dah!! Haufai kuwashauri vijana wako wa kiume [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watakata tamaa mapema mnoMpenzi mtazamaji
Na kwa taarifa yako kuna njemba inamkaza huyo beki tatu ambae wewe hujamla ila ni ex wako
Engineer = fundi?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila tamu haikosi chungu , hata Fundi (engineer) wa umeme kuna muda hupigwa shoti... Anakaza moyo kisha kazi inaendelea kana kwamba hakuna kilicho tokea [emoji21]
Haya mapenzi aisee, kikubwa ni kuwa mvumilivu tu.
Ex ni mpenzi wa zamani, ambae tayari mmeshaachana.Kujichanganya kupo tu mkuu hakuna alie kamilika, unaweza kunisahihisha rukhusa
Pole mkuu mtaka yote hukoswa yoteDah!! Haufai kuwashauri vijana wako wa kiume [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watakata tamaa mapema mno
Ndio mkuu, mimi nakulilia wewe....[emoji28]