Mapenzi yananitesa sana

I understand thnx
 
Asant nmekuelew xn princpl gel
 
mdada mie sijui imani yako lakini omba Mungu akupe amani, furaha, faraja, utulivu, upendo na uvumilivu ndani ya moyo wako......na pia mwombe akutolee huzuni ,majonzi, akufute machozi, manung'uniko na masikitiko ndani ya moyo wako......
asant San sister
 
Kubali kujishusha kwake, tatizo lenu mnataka muwe na kibesi ndani kama mwanamume.
 
wacha kujiendekeza mtoto wa kike.. au kuna mambo ulikuwa unampa yasiyo ya kawaida??? kijicho au?
 

Ulishakosea from tha start...watu hawapendi mtu na ku fall kwa mtu mazima...mtu akishajua una muabudu tu imekula kwako. Huwez kupima urefu wa mto kwa kuingiza miguu yote miwili.
 
And I believe kuwa huyo ulokuwa naye kwa sasa you always tell him you love him so much, sio? well, mshahara wa dhambi ni mauti, wacha ukome
 
Usijali.....utampata barafu wa moyo wako atakayekuondolea stress...yupo njiani anakuja.
 

mateso ya uasherati abebe shetani bhanaa yesu mpe umasikini maradhi njaa hahahaha
 
oooh BABY YOU ARE ZE FOOD YOU ARE ZE WATER i cant live without you!!!!
 
Njia nzuri ya kuachana na mtu ni kuachana nae huku bado mnao ngea
ili ukimmis unamtafuta hata kwa story....taratibu huku unaanza kumsahau

ukiachana ghafla na mtu
only give it time ndo utaweza
 
Dah! pole sana, ngoja nikupe kisa changu.

nilikuwa naishi na Boyfriend wangu 2 year na mwanzoni tulikuwa tunapendana sana ila baada ya miezi 4 akaanza kubadirika,halali ndani,ananitukana,malaya kupingukia hanipi matumizi etc.ila nilikuwa nampenda sana na hata hizo tabia zake sikuwa naziona kama ni chafu.
ilifika muda nikachoshwa na tabia zake na toka nimeachana nae huu ni mwaka wa pili sasa sina boyfriend na sina haraka zakuwa na boyfriend maana najua Mungu ameniandalia Mume mwema wakuja kuyafuta haya machozi yangu.
ushauri wangu kwako.Tulia Binti, sali sana ,kataa hiyo roho ya kusema eti unampenda maana hata hujui kama yeye nae anakupenda,daah! so sad.jipende wewe kwanza,jithamini wewe kwanza ili ujue thamani yako ipo wapi maana nakuona hata wewe mwenyewe umeshindwa kujithamini.
Tabia ya mtu ni ngumu sana kuibarisha.na kama kwenye uchumba tu anatabia hizo,ata kwenye ndoa pia atakuwa hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…