Mapenzi yananitesa, ni kwangu tu

Sijui amekufanya Nini, ila trust me, kosa sio lake, ni lako wewe.

Mtu ambae tokea utoto mpaka balehe ameishi mazingira tofauti na ww, mmekutana after more than 18 years tokea amezaliwa, then unataka ndani ya miezi 6 ya mahusiano yenu awe kama vile wewe unataka, broh are you God??

Kwenye mahusiano mnatakiwa muendane vitu vichache sana ambavyo ni basic kwa ajili ya kuanzia. Kikubwa zaidi, heshima ndio inatakiwa iwepo kati yenu kwa asilimia nyingi, ikiwezekana hata 100. Heshima ndio itazuia mambo kadhaa mabovu yasiingie kati yenu.

Ukiona mambo hayaendi, just kuwa honest with yourself, move on. Ukiendelea kung'ang'ania kisa upendo, broh huo sio upendo, ni mazoea ndio yanakutesa.
 
Tatizo kwenye vikao vya wanaume huwa mnatoroka, pambana na hali yako adi akili ikukae sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha ni kweli mkuu sometime mambo tu yanakuwa ndivyo sivyo ugomvu wenyewe na fikiri ni fikra potofu sio kwamba tumegongewa
Nipo katika harakati za kutafuta mke bora
Dogo wa 19 ndio unalia Lia kama umeibiwa Figo? πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakusubiria after ifutari na kihirizi kako
 
Sasa hao wengine wanakutesa, dada yangu si atakutoa uhai.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…