Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Pumbavu.
Pumbavu.
UlitumwaPumbavu.
Sijui amekufanya Nini, ila trust me, kosa sio lake, ni lako wewe.Nayavumilia sana ila kusema kweli yamenikaba roho
Natokea kumwamini sana mtu alafu sometime kweli nachukia. Jamani hata kama sio kufanyiana hivi nayaacha mapenzi rasmi leo japo sijawahi lala na binti wa mtu since day one
Ila ndoto zangu na zizima leo, Katu sitataabika na binadamu, niwaze kufa na kusaka pesa na kutunza ndugu zangu wapendwa
Na bado mtu unayempa nafasi anakuzingua. Sina bahati sana kwakweli na sitakuwa nayo
🙄😞😞 Asije akashoboka binti wa mtu, nitakachomfanya atachukia watu wanaume wote
Dogo wa 19 ndio unalia Lia kama umeibiwa Figo? 😅😅
Tatizo kwenye vikao vya wanaume huwa mnatoroka, pambana na hali yako adi akili ikukae sawa😂😂😂😂Nayavumilia sana ila kusema kweli yamenikaba roho
Natokea kumwamini sana mtu alafu sometime kweli nachukia. Jamani hata kama sio kufanyiana hivi nayaacha mapenzi rasmi leo japo sijawahi lala na binti wa mtu since day one
Ila ndoto zangu na zizima leo, Katu sitataabika na binadamu, niwaze kufa na kusaka pesa na kutunza ndugu zangu wapendwa
Na bado mtu unayempa nafasi anakuzingua. Sina bahati sana kwakweli na sitakuwa nayo
🙄😞😞 Asije akashoboka binti wa mtu, nitakachomfanya atachukia watu wanaume wote
😂😂😂 Au sio mwenyekiti wa kikaoTatizo kwenye vikao vya wanaume huwa mnatoroka, pambana na hali yako adi akili ikukae sawa😂😂😂😂
Hahaha ni kweli mkuu sometime mambo tu yanakuwa ndivyo sivyo ugomvu wenyewe na fikiri ni fikra potofu sio kwamba tumegongewaSijui amekufanya Nini, ila trust me, kosa sio lake, ni lako wewe.
Mtu ambae tokea utoto mpaka balehe ameishi mazingira tofauti na ww, mmekutana after more than 18 years tokea amezaliwa, then unataka ndani ya miezi 6 ya mahusiano yenu awe kama vile wewe unataka, broh are you God??
Kwenye mahusiano mnatakiwa muendane vitu vichache sana ambavyo ni basic kwa ajili ya kuanzia. Kikubwa zaidi, heshima ndio inatakiwa iwepo kati yenu kwa asilimia nyingi, ikiwezekana hata 100. Heshima ndio itazuia mambo kadhaa mabovu yasiingie kati yenu.
Ukiona mambo hayaendi, just kuwa honest with yourself, move on. Ukiendelea kung'ang'ania kisa upendo, broh huo sio upendo, ni mazoea ndio yanakutesa.
😂😂😂 Nakusubiria after ifutari na kihirizi kakoDogo wa 19 ndio unalia Lia kama umeibiwa Figo? 😅😅
Sasa hao wengine wanakutesa, dada yangu si atakutoa uhai.Kumbeeee, Ngoja nijenge fensi niteseke nao
Hapo nimekupata
Huu ndio ushauri
Sibiria tu mwaka kesho kutwa
Ila kwa tumiaka twangu nimewazidi experience wazee humu
Nipe dada yako uone
Poa kaka
Ila unamawazo finyu hakuna anayependa mwenzie kwenye huu ulimwengu ni vile tu Upwiru
Aaaa poa, nilipoitoa anajua dronedrake
Nipe namba zake tuoneSasa hao wengine wanakutesa, dada yangu si atakutoa uhai.