Mapenzi yananitesa, ni kwangu tu

Mapenzi yananitesa, ni kwangu tu

Nayavumilia sana ila kusema kweli yamenikaba roho

Natokea kumwamini sana mtu alafu sometime kweli nachukia. Jamani hata kama sio kufanyiana hivi nayaacha mapenzi rasmi leo japo sijawahi lala na binti wa mtu since day one

Ila ndoto zangu na zizima leo, Katu sitataabika na binadamu, niwaze kufa na kusaka pesa na kutunza ndugu zangu wapendwa

Na bado mtu unayempa nafasi anakuzingua. Sina bahati sana kwakweli na sitakuwa nayo

🙄😞😞 Asije akashoboka binti wa mtu, nitakachomfanya atachukia watu wanaume wote
Tunza bikra yako
 
Madogo yamepata simu za kupewa na shangaz zao huko majumban baada ya kufaulu hii elimu yao ya mchongo, baasi madogo washajiona watu wazima.

Madogo hawana adabu wanaingia JF kama vile wanavyoingia chooni, hakuna salamu hakuna shikamoo kwa wakubwa zenu, humu wengi babu zenu, bibi zenu, baba&mama zenu, pia kaka zenu wako humu.

19yrs dogo linawaza mapenzi, wakat huo wenzenu umri huo tulikuwa tunawaza tufanye nini kujikomboa na maisha, apart from mapenzi acha uzwazwa we dogo kasome shule, mapenz huyawez bado, em subir angalau uvuke 22yrs, muda huu tumia kuwaza kwanini friji likifungwa linazima Taa.

Hawa madogo wako wengi sana humu ndio hawa hawa shule zikifunga wanaibuka na topics/threads za kipuuzi puuzi na kutukana wakubwa zao humu..JF iwekwe sheria mtu ajiunge akiwa na umri angalau 24+ hawa madogo wakomae komae na Fb&IG , huku ni kwa Great thinkers only (JOKES tu dogo usiogope)
 
Nayavumilia sana ila kusema kweli yamenikaba roho

Natokea kumwamini sana mtu alafu sometime kweli nachukia. Jamani hata kama sio kufanyiana hivi nayaacha mapenzi rasmi leo japo sijawahi lala na binti wa mtu since day one

Ila ndoto zangu na zizima leo, Katu sitataabika na binadamu, niwaze kufa na kusaka pesa na kutunza ndugu zangu wapendwa

Na bado mtu unayempa nafasi anakuzingua. Sina bahati sana kwakweli na sitakuwa nayo

Asije akashoboka binti wa mtu, nitakachomfanya atachukia watu wanaume wote
Pole kijana
 
Jiangalie ww, nn kinakutesa kwenye mapenz? Maybe ni tabia zako au kuna mdhaifu unayo, chukua huo muda jijenge halaf rudi tena
 
Madogo yamepata simu za kupewa na shangaz zao huko majumban baada ya kufaulu hii elimu yao ya mchongo, baasi madogo washajiona watu wazima.

Madogo hawana adabu wanaingia JF kama vile wanavyoingia chooni, hakuna salamu hakuna shikamoo kwa wakubwa zenu, humu wengi babu zenu, bibi zenu, baba&mama zenu, pia kaka zenu wako humu.

19yrs dogo linawaza mapenzi, wakat huo wenzenu umri huo tulikuwa tunawaza tufanye nini kujikomboa na maisha, apart from mapenzi acha uzwazwa we dogo kasome shule, mapenz huyawez bado, em subir angalau uvuke 22yrs, muda huu tumia kuwaza kwanini friji likifungwa linazima Taa.

Hawa madogo wako wengi sana humu ndio hawa hawa shule zikifunga wanaibuka na topics/threads za kipuuzi puuzi na kutukana wakubwa zao humu..JF iwekwe sheria mtu ajiunge akiwa na umri angalau 24+ hawa madogo wakomae komae na Fb&IG , huku ni kwa Great thinkers only (JOKES tu dogo usiogope)
😂😂😂 Sio kweli nimekuwepo miaka 5 nyuma humu ndani
 
Khaaaa na una miaka 30 mbele ya kuteseka
Kumbeeee, Ngoja nijenge fensi niteseke nao
Jiangalie ww, nn kinakutesa kwenye mapenz? Maybe ni tabia zako au kuna mdhaifu unayo, chukua huo muda jijenge halaf rudi tena
Hapo nimekupata
Huu ndio ushauri
Leo nimeona Mzee mwenye miaka chini ya Ishirini.
😂😂😂 Sibiria tu mwaka kesho kutwa
Ila kwa tumiaka twangu nimewazidi experience wazee humu
mkuu unamiaka 19 bado haujachakata mbususu, there's something must be wrong somewhere
Nipe dada yako uone
Tulia mdogo wetu kakaako nna 24 apa nimepoa tu ila naamini kuna sku atatokea yule ataenipenda/atakaekupenda relax tu mwanangu foxus kwenye money

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa kaka
Ila unamawazo finyu hakuna anayependa mwenzie kwenye huu ulimwengu ni vile tu Upwiru
Nikishampaga demmu wangu wa kwanza
Aaaa poa, nilipoitoa anajua dronedrake
 
Sasa hujawahi kulala na binti ya mtu since day one na unataka kuacha mapenzi, utakua unalala na wanaume au wanyama mkuu?
 
Nachukua fomu za upadre
Au siku moja moja naruka

Ila kama ulisoma vizuri hapo chini nilisema asishoboke mtu
Yani kwangu ni kugusa kuacha
 
Back
Top Bottom