Oppo A17k
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 993
- 3,009
Mshauri mdogo wako aache punyetoDogo bado sana hadi bi mkubwa wake anamzidi ujanja
Mshauri mdogo wako aache punyetoDogo bado sana hadi bi mkubwa wake anamzidi ujanja
NiPmZa ex nitakupa japo nampenda maana hata kafara nipo razi nimtoe
Ahsante safari hii ninachojifunza ni kupotezea ili maisha yaendeBado mdogo una utakatifu cha kukushauri usiyaruhusu mapenzi yakuvuruge, zingatia hili sana.
😂😂😂 DahKwahyo dogo mama yako na mwamposa wanafanana vipaji
Binadamu Mtakatifu fuata ushauri wa mkubwa wakoMshauri mdogo wako aache punyeto
Ndio umeamua kuniua kabisa 😂😂😂Mshauri mdogo wako aache punyeto
We umeacha?Binadamu Mtakatifu fuata ushauri wa mkubwa wako
Kuwa busy na kutengeneza kesho yako hasa kiuchumi na kiafya, muda ni sasa usiupoteze. Mapenzi yana gharama kiuchumi na kiafya.Ahsante safari hii ninachojifunza ni kupotezea ili maisha yaende
😂😂😂 Dah
Mda sana kwahiyo acha inawezekanaWe umeacha?
Hajawahi nizidi ujanja kama angenizidi ujanja angenistukia mapemaDogo bado sana hadi bi mkubwa wake anamzidi ujanja
hata hivo najua you can feel the pressure kwa washkaji zako.....
Niko chungu cha 8 napambanaMda sana kwahiyo acha inawezekana
Nitafata ushauri, ila Mungu hunitia huzuni sana nifanyapo bayaMimi kama 19 mwenzako nakushauri anza sasa kuchakata mbussu, mapema ndo besthata hivo najua you can feel the pressure kwa washkaji zako.....
Kumbuka, sio kila anayechakata mbussu yuko mahusiano, na sio kila aliyeko kwenye mahusiano, anachakata mbussu.....
Komaa utayashindaNiko chungu cha 8 napambana
Mama yangu ogopa ni hatare future inakuja kwake kama movieAnaona ndoton au sio 😂
Ahsante maana hilo pepo aliyeliumba aliadhibu vikaliKomaa utayashinda
Bro usiombe kua virgin wa miaka 30....huna uzoefu wa sex, utatia huruma kwenye mahusiano huko.....Nitafata ushauri, ila Mungu hunitia huzuni sana nifanyapo baya
Naforce tu
SawaaBro usiombe kua virgin wa miaka 30....huna uzoefu wa sex, utatia huruma kwenye mahusiano huko.....
🤣 dogo bhana ila hongera kwake kwa malezi anayokupaMama yangu ogopa ni hatare future inakuja kwake kama movie
Akiona unakufa ujue usipo janjaruka unakufa kweli
Sio muda tu na kupoteza nguvuAhsante maana hilo pepo aliyeliumba aliadhibu vikali
Linatupotezeaga muda sana
😂😂🤣 dogo bhana ila hongera kwake kwa malezi anayokupa
Thanks 👍Sio muda tu na kupoteza nguvu