Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,397
- 9,175
- Thread starter
-
- #21
Nilitarajia hili mimi na mashangazi wapi na wapi?Sasa huu umri si usome mapenzi badoo
Badoo hujakutana na mishangazii wee si utajiua
Sio first love nilianza cuddling na wanawake nipo 12yrsbado hajafunguliwa duniani ndio kwanza first love inamuendesha na kula viapo ambavyo hatoweza kuviishi
Hana ata eX ila ndio hvyo hayanaga muongozo, tunamshauri hapa lakini 99% hatoutendea haki ushauriEtii hata experience hana hebu Asubiri
Endelea hadi wakuueMimi ni mtu mwenye imani sana kwa mtu na hua sivunjuki moyo nilipoweka imani ila hua naumia sana
πππ Majaribu yapo ambayo yameiharibu imani yangu ila sio mapenziWatakatifu wote lazima wakutane + kujaribiwa na mashetani.
Kwani hukumuona Yesu ?
I think piaMahusiano ya wakati huu wa TikTok sio wa kujiwekea 100% utaumia.
Naona mnadanganyanaEtii hata experience hana hebu Asubiri
Nangojea kawiki kaishe hakaKama una namba zake Futa mana sio kwa Status za pasaka hii.
WAFA.
ππ€£ Dejane muone mdogo wakoSio first love nilianza cuddling na wanawake nipo 12yrs
Nitumie izo namba nimuelekeze asikuteseNangojea kawiki kaishe haka
Ex ninao ila sikuwala niliishia katiHana ata eX ila ndio hvyo hayanaga muongozo, tunamshauri hapa lakini 99% hatoutendea haki ushauri
Hata kama nitaokota mikate majalalani kujinyonga noDogo soma achana na wanawake
19years umeshakua heart broken ukifikisha 28 kama yangu si utajinyonga kabisa mdogo wangu
Bado mdogo una utakatifu cha kukushauri usiyaruhusu mapenzi yakuvuruge, zingatia hili sana.Ex ninao ila sikuwala niliishia kati
Mother wangu risala nyingi alafu anakuwaga kama anauwezo wa utambuzi kupitia ndoto
Siku nikikutana nae asije akalifurusha bure
Kwahyo dogo mama yako na mwamposa wanafanana vipajiEx ninao ila sikuwala niliishia kati
Mother wangu risala nyingi alafu anakuwaga kama anauwezo wa utambuzi kupitia ndoto
Siku nikikutana nae asije akalifurusha bure
ππNaona mnadanganyana
Za ex nitakupa japo nampenda maana hata kafara nipo razi nimtoeNitumie izo namba nimuelekeze asikutese
Dogo bado sana hadi bi mkubwa wake anamzidi ujanjaKwahyo dogo mama yako na mwamposa wanafanana vipaji