MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Pole sana aisee. Ila kumbuka kuwa wakati mwingine blessings huja kwa staili hii. Hujui MUNGU anakuepushia nini kwa yeye kukataa kurudiana nawe. Usije juta baadae bure. Kuhusu kumdhuru na kasha kujidhuru mwenyewe, please hebu acha ubinafsi usijifikirie wewe tu, huna ndugu ambao wataumia sana kwa kitendo utakachokifanya cha kujidhuru? Je ukimdhuru ukaishia jela huoni kuwa utakuwa umewakosea sana wakupendao? Mimi ninakupenda ukijidhuru utaniumiza sana na mimi.