Mapenzi yananitesa, bora nife tu


Mkuu kabla hujafanya kama hutajali niuzie simu yako nipe chaja na earphones kama motisha…

Naomba unipe na namba ya shemeji Ashura maana kwenye msiba wako lazima atajishaua kulia sana sasa nikiwa na namba yake ntampa makavu live.

Natanguliza shukrani
 

Ufe sababu ya Ashura?
Ashura huyu huyu akulaze kwa amani.
Mbona unataka kumpa umaarufu sana Ashura ambaye hata haoni kama wewe ni kitu cha thamani kwake. Ukifa unamkomoa nani kwa mfano.
Anyaway hata Gigy anasema anataka kupumzika labda mtakutana huko awe Ashura wako
 
Pita huku upitie kuni zako na petrol ya kukuchomea
 
Kwa akili hiyo bora tu uende. Nilishaapa nikiwa na mwanamke hata kama namwelewa kiasi gani simpi 100% moyoni.
 
Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta ila umenipa hasira, mwanaume halili mapenzi wanawake wako kwani huyo Ashura ana uke wa dhahabu??
 
Lakini si ushasema ulikuwa huna kazi ya kueleweka? Sasa ulitaka sababu gani ya Ashura kukuacha solemba?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…