Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Yan mleta mada kwa hz comment, km namuona vile anavyobubujikwa na litre za machozi
yan comment za faraja ni aslimia 5℅ out of 90℅
 
Bora Ufe idadi ya wajinga ipungue...Mademu kibao ivi ujiue kisa Ashura we mwehu kweli.
 
Kama hutokufa. Kijana mwanaume kamili hawezi kuwa na mwanamke mmoja. Mambo ya kuwa na mwanamke mmoja kama mama Yako ndio Huwa yanaleta shida kama hiyo ulio kumbana nayo.

Lakini kikubwa maumivu ya mapenzi huku komaza amini nakwambia hakuna Ambae ajawahi kuumizwa kwenye mahisiano. Na furaha tunayo itafuta atuwezi kuipata Hadi tunaingia kaburini😭😭😊

Pole Kwa yaliyo kupata wewe sio wakwanza kutumia kwenye mapenzi na hautokuwa wa mwisho. Hivyo kama utaamua kujiua kwaajili ya jambo la kijinga kama Hilo utakuwa umekufa kizembe sana na tutamlaumu mama Yako kuivumilia mimba Yako akitarajia atazaa mtu mwenye manufaa badala yake anatuletea matope Duniani...{jokes}

Brother maisha ni matamu sana acha kujiwazia UJINGA utapata mwanamke mwingine mzuri kama Zaidi ya huyo. Ila zingatia mwanamke anaepewa nafasi kubwa zaidi ni mama TU ambaye anafaa kuwa peke yake ila Hawa wapenzi unatakiwa uwe nao kama 10.

Kama simu TU Ina power bank wewe ni nani ukose back up. Yako kwenye mahisiano

R.I.P tutaonana baadae​
 
Boss niachie kwanza no ya Ashura ni mshenzi sana nataka nimfate nikamseme ukishaenda uko kupumzika
 
Usha-dead au bado? Tikusaidie Sumu ya Panya
 
Dunga mawe , wa Kontawa
Toto IDD wa juma nature
Na Sasa Sele ,selemani wa mboso
 
KUFAAAA, KUFAAAAA, KUFAAAA
 
𝐍𝐆𝐎𝐉𝐀 𝐓𝐈𝐌𝐔 𝐊𝐀𝐓𝐀𝐀 𝐍𝐃𝐎𝐀 𝐖𝐀𝐉𝐄
 

To the fallen soldier!!!, ila tafuta hela tu mkuu hizo zote ni stress za hela siyo mapenzi.
 
Acga ufala mtoto wa kiume unamlilia mwanamke wakati wamejaa kibao kitaa huu ni ujuha
 
Kufa tukuzike maeneo bado makubwa sana
 
Kama ni kisa Cha kweli nakupa pole kutoka moyoni, Ila Kama umetunga hiki kisa, sikiliza wimbo wa marioo dear x Mara 60, alafu mwombe diamond lile jeneza lake alilofanyia shoo yake wasafi festival.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…