Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Pole sana mkuu,Vumilia tu Yana mwisho, ni mapito tu
 
Duh ..
wazazi wamekupambania kwenye Kila janga .....ukiumwa ,ukiumia, ukipata shida yoyote mpaka unakua mtu mzima mwenye kujitambua .....leo hii kizembe kizembe tu unataka kujiua kisa mtoto wa watu.

sawa wewe fanya hivyo ila nawaonea huruma wazazi wako waliokupambania Kwa Hali na Mali mpaka kufikia hapo na hawakukuacha ufe kizembe ,leo hii waambiwe umejiua kisa mapenzi....nasikitika sana.
 
SSikiliza kwanza DEAR X ya Marioo. Usiondoke hivi hivi
 
Kabla hujajiua nitumie namba ya Ashura nina shida nae. Ni PM nataka akibaki huku duniani nimwachanishe na kaka yako wa damu kama kulipiza.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukishakufa tutumie barua ulipoenda kukoje.
 
Ufe kisa mapenzi like seriously?Alokwambia huko kuna kupumzika nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…