ni kweli... asa hapo yeye ndo inabidi achague ushauri anaopewa,, comments nyingine azipuuze tu asije akachukulia serious akaharibikiwaIla wengine wanachukulia masikhara hawajui mwenzao anapitia magumu gani
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Daaaah na humu siku hizi isitegemee upate ushauri mzuri wengi wamejaa dhihaka kama vile wao ni malaika mabaya hayawakuti kumbe ni mbwembwe tu za nyuma ya keyboard.ni kweli... asa hapo yeye ndo inabidi achague ushauri anaopewa,, comments nyingine azipuuze tu asije akachukulia serious akaharibikiwa
Wengi sana wako na depression, so wanavyoona mtu akielezea matatizo yake wao wanapata hauweni kuona kwamba hawako pekeyao,, hiyo ni njia yao ya kujifariji na waoDaaaah na humu siku hizi isitegemee upate ushauri mzuri wengi wamejaa dhihaka kama vile wao ni malaika mabaya hayawakuti kumbe ni mbwembwe tu za nyuma ya keyboard.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Inawezekana ila siyo poaWengi sana wako na depression, so wanavyoona mtu akielezea matatizo yake wao wanapata hauweni kuona kwamba hawako pekeyao,, hiyo ni njia yao ya kujifariji na wao
Mleta mada anatakiwa atambue hilo kama yuko serious lakini
Ni nomaaa.Mleta mada anatakiwa atambue hilo kama yuko serious lakini
Bado anavuta mda asome commentNi bastola hapa nikuletee au tayari ushavuta??
ππ kosa langu liko wapi? Kuomba chaja auHivi Depal utaacha lini masikhara tutampoteza mwana Jf ujue
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nakujaa hapo Tanga chaaapNjoo uchukue
kwanini unakuwa nawasiwasi mchumba?Una uhakika ukifa unaenda kupumzika?
Bora ww umetake sualaa lake serious..depression is real.tunaweza ona utanii kumbe mtu yuko seriousOh pole sana ndugu
Mwenyezi Mungu akutie nguvu,moyo wa uvumilivu,kupotezea jambo/kukubaliana na hali na kujipanga upya .
Kila binadamu yuko tofauti kukabili jambo ,pole sana.
Hakikisha uliloleta sio la kutunga maana jf members tutakupa laana .
Kampenda sana AshuraNakujaa hapo Tanga chaaap
Twende kwanza Magoroto
Tukirudi unipe chaja, kisha umalizie mwenyewe mauaji.
BTW si mnasemaga K ni K?
Why ujiue sababu ya Ashu Babe?
Acha zako wewe!!
Usiku ukiingia liaaaaa
Yan lia mpaka uhisi kiu. Amka uoge unywe maji.
Toka nje kina Amina bado wapo..
Sasa unaomba chaja ya marehemu mtarajiwa unataka ndugu zake warithi nini[emoji3][emoji3] kosa langu liko wapi? Kuomba chaja au