Eti 😅Una uhakika ukifa unaenda kupumzika?
Ngoja nimuite JoanahWanawake wako two siides Killers/ Healers i.e Wauaji/Waponyaji. Ashura Unaua....
Sasa nilitegemea wanawake wa humu Jf sijui akina Joanah, Jtete na wengine Wamponye. Wampe zawadi. a.k.a wamtunuku ka kithuu...[emoji2089][emoji2089]
Au unasemaje Marehemu Mtarajiwa?
Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
UnazinguaBado mkuu kuna vitu naviweka sawa kwanza kabla ya kuondoka.
Dunia sio mahali pa wanaume dhaifu na wapumbavu kama huyuUkute mwamba yuko stressed kweli utamsogeza ujue kwenye hatua ya kuchukua kamba au sumu ohoo
Dungamawe mimi sikubaliani kabisa na uamuzi wako wa kujiondoa nazidi tena kuku kumhusha kwamba Mungu muumbaji wetu anakupenda sana.Hiyo changamoto uliyoisema ni ndogo sana ukilinganisha na za wengine ukizisikiliza.Acha kabisa hayo mawazo nasema achaaa.Unatakiwa ufe pumbavu kabisa
AsanteDungamawe mimi sikubaliani kabisa na uamuzi wako wa kujiondoa nazidi tena kuku kumhusha kwamba Mungu muumbaji wetu anakupenda sana.Hiyo changamoto uliyoisema ni ndogo sana ukilinganisha na za wengine ukizisikiliza.Acha kabisa hayo mawazo nasema achaaa.