Mapenzi yananichanganya

Mapenzi yananichanganya

Yaani bora amwache mshikaji wa watu anatafuta zake maisha huko nje. Vinginevyo utampotezea time baadae uanze kulia au yeye aliye na wewe.
Kabisa yani.
 
Mkuu hapa mwenye Tania ya maringo ni huyu kadada. Huyo jamaa alimjali sana ila huyu hakuwa na ushirikiano mwisho wa siku jamaa alichoka na kuamua kumkalia kimya ndopo yeye akaanza kuhangaika. Huyu ndie mwenye makosa hapo.
Ndugu hope hujanielewa.....coz nimesema baada ya mm kusafir for 3weeks ndo nikaona changes like ukimpigia hapokei kwa wakati,ukimtext anakujibu shot au acjibu text nikiuliza anasema kazi nyingi nikarud safar kwa kushangaa mambo yatakuwa sawa bt aliendelea kuwa busy we imagine before alikuwa anatoroka kazin mchana anakuja home kunipa zawad,bt nilivyorud hata hakuja kuniona mm nikitaka nimwone yupo busy mpaka week imepita ndo kajakunisalimia and he act normal like nothing wrong or kama vile hatujaonana muda mrefu
 
Nadhani cjaeleweka yule wa kwanza nilimpenda mnoooo though hakuwa kunitamkia neno nikupenda,na mm kama mwanamke cwezi kumwambia nakupenda sana ur my everything NO because he Never approach bt action speak loud alivyokuwa ananijali kwa zawad,kunishauri vitu tofauti bt ttz ni moja alikuwa busy mnoo mpaka kunitafuta ni shida so mm ndo wakumtafuta cku zoteee
Hapo sasa nimekuelewa vizuri.
 
Huyu wa pili cna hisia nae kabisaa though anaonyesha kunipenda mnoooo
Basi kama humpendi hakuna haja ya kwenda huko nje muache na maisha yake na wewe tafuta yakwako ila muweke wazi kuwa humpendi. Usijae tamaa ya ajira unaenda kumtesa bure au ukateseka wewe.
 
Ndugu hope hujanielewa.....coz nimesema baada ya mm kusafir for 3weeks ndo nikaona changes like ukimpigia hapokei kwa wakati,ukimtext anakujibu shot au acjibu text nikiuliza anasema kazi nyingi nikarud safar kwa kushangaa mambo yatakuwa sawa bt aliendelea kuwa busy we imagine before alikuwa anatoroka kazin mchana anakuja home kunipa zawad,bt nilivyorud hata hakuja kuniona mm nikitaka nimwone yupo busy mpaka week imepita ndo kajakunisalimia and he act normal like nothing wrong or kama vile hatujaonana muda mrefu
Hapo nimekupata sasa, achana naye usikubali mtu achezee hisia zako kiasi hicho.
 
Hapo nimekupata sasa, achana naye usikubali mtu achezee hisia zako kiasi hicho.
Ndo maana najitahid kumpotezea.... najifariji na nyimbo ya Ronnie Davis: I WON'T CRAY
 
Zisi izi ze turuu mining of longu disitensi lavu
IMG-20170331-WA0027.jpg
 
Wengine tuna raha sana mapenzi yanatuheshimu
 
Kariakoo nilikuta mchele "dizaini moja" lakini lebo mbalimbali.
Hali hiyo ilinisukuma kumuuliza mfanyabiashara pale, kwanini mchele ni "mmoja" lakini bei tofauti? Alichonieleza kilinishangaza sana, lakini baada ya kutafakari niligundua kuwa ni kweli na sahihi.
Alinieleza hivii? 'Mtu mwenye fedha zake hapendi vitu vya gharama nafuu'.
Kwa hiyo anachokifanya yeye ni kutengeneza lebo za gharama tofautitofauti kwa mchele uleule na kupata faida kubwa sana.
Nimechukulia mfano wa mchele kuonesha jinsi binadamu anavyopenda vitu ghali, vitu vya gharama hata kama uhalisia vitu hivyo viko sawa kiuthamani na vitu vingine.
Hivi, kwa mwanamke anayejitambua na kutambua uthamani wa wake aliojaaliwa na M/Mungu, anawezaje kujirahisisha kwa mwanamme kiasi hicho?
Ndiyo maana kizazi cha sasa wasichana hawaoleki, wanaishia kuzalishwa majumbani na kuletea kashifa wazazi na familia.
Sijadili uhawara au mapenzi nje ya mfumo, hapana.
Ninajadili mahusiano ya kindoa.
Mwanaume kakutongoza kiutanitani, tena kwa siku moja tu, tayari "unayeyema"
Mwanamke mzuri kwa mwanaume ni mwanamke mgumu.
Kataa mtongozaji, mtukane akukome, kamshitaki kwenye "uongozi" ili wamkanye asikufuatefuate, mwambie wazi haumpendi, mzungushe sana kumpima. Anayekata tamaa mapema si muoaji.
Hiyo mbinu ni chekecheo la kumpata mwanaume "mwenza".
Masimango na manyanyaso kwenye utongozaji ndiyo humuongezea thamani mwanamke na kumtofautisha kwa mbali kabisa na mwanamke "maharage ya mbeya" Waoaji hawapendi mwanamke wa rahisirahisi.
Onyesha uthabiti wako na msimamo kwa wanaume wakutakao ama uwatakao, watakuheshimu na ndiyo utapata mwanaume halisi wa chaguo lako. Vinginevyo utatumiwa kama karai la zege, ambapo baada ya kutumika hutupwa "stoo" bila kusafishwa.
Hata huyo wa nje, usiende, kwa sababu haujahalalishwa na wazazi kuweza kuishi nae.
Kama anakupenda, afunge safari aje akupose akuoe.
Vinginevyo mama " yeneyako".
 
Hilo ndio tatizo lenu wanawake, unakuta mtu anakuoenda anakuonesha kila dalili wewe unajifanya hutaki kumbe unataka.

Hivi kwanza nikuulize kwanini huyo mleta zawadi anakukaushia ? Ukikuwa unampa response za ovyo kipindi hicho?

Ukisha nijibu ndio nitakushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom