Mapenzi yananichanganya

Mapenzi yananichanganya

yULE ULIMPENDA AKAKULETEA POZI,HUYU ANAKUPENDA WEWE SASA NAWE UNAMLETEA POZI,MSUBIRI PIA UTAKAYEMPENDA NAE AKULETEE POZI,Do to be done! sasa chagua kama unaendeleza hako hako kamchezo au?
 
Mapenzi popote maana yake zinaa ni popote! Wazinifu wanaweza kuonekana washauri wazuri kumbe ushauri was 100% uzinzi. Ndoa si popote...inahitaji utaratbu maalum wenye ridhaa ya wazazi na Mungu pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom