Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Ubarikiwe, na ulale sasa, kunakaribia asubuhi ujueSawa nimekuelewa mkuu.... nitaufanyia kazi ushauri wako.. shukrani
Ubarikiwe, na ulale sasa, kunakaribia asubuhi ujueSawa nimekuelewa mkuu.... nitaufanyia kazi ushauri wako.. shukrani
Kuumbe ndo hivi, hata usiende huko nje ya nchi.. Tena unawaficha na wazazi kabisa. Usithubutu who is he to you? Unless akuoe kabisa ndo utajua yuko serious. Wengi tu wanaishiwa kumegwa, wanaume unawajua wewe.. (baadhi).. Usije enda ukaishia kua changudoa huko. Kaa tz hadi kieleweke na huyu wa maringo achana nae embu angalia other side of life..Yani niko njia panda sometimes naona bora niende ili anifundishe hz biashara ikiwezekana anipe na mtaji afu nimpotezee......bt ikitokea nikawez kumpenda then tuanzishe mahusiano.....bt cjui nitamkwepaje asile ppuchi coz kama nikienda nitafikia kwake and tulala room moja sasa kumkwepa cjui itakuwaje
Asipokuelewa na hapa basi.Kuumbe ndo hivi, hata usiende huko nje ya nchi.. Tena unawaficha na wazazi kabisa. Usithubutu who is he to you? Unless akuoe kabisa ndo utajua yuko serious. Wengi tu wanaishiwa kumegwa, wanaume unawajua wewe.. (baadhi).. Usije enda ukaishia kua changudoa huko. Kaa tz hadi kieleweke na huyu wa maringo achana nae embu angalia other side of life..
AiseeYani nilivyovurugwa hta usingizi sina.....mi naona ndo kwanza saa3
Nimekuelewa mkuu ngoja nijaribu kufanya application za jeshi mwez5,ili nimpotezee huyo jmaa wa njeKuumbe ndo hivi, hata usiende huko nje ya nchi.. Tena unawaficha na wazazi kabisa. Usithubutu who is he to you? Unless akuoe kabisa ndo utajua yuko serious. Wengi tu wanaishiwa kumegwa, wanaume unawajua wewe.. (baadhi).. Usije enda ukaishia kua changudoa huko. Kaa tz hadi kieleweke na huyu wa maringo achana nae embu angalia other side of life..
Kama umemsoma mtoa mada vizuri. Mwanaume hana shida. Tatizo lipo kwa mtoa mada. Hampendi mtanzania anayeishi nje.Kuumbe ndo hivi, hata usiende huko nje ya nchi.. Tena unawaficha na wazazi kabisa. Usithubutu who is he to you? Unless akuoe kabisa ndo utajua yuko serious. Wengi tu wanaishiwa kumegwa, wanaume unawajua wewe.. (baadhi).. Usije enda ukaishia kua changudoa huko. Kaa tz hadi kieleweke na huyu wa maringo achana nae embu angalia other side of life..
Yaani bora amwache mshikaji wa watu anatafuta zake maisha huko nje. Vinginevyo utampotezea time baadae uanze kulia au yeye aliye na wewe.Tatizo ninaloliona kwako kuwa wewe unajiona kama dhahabu na pia huna Tabia ya kuwathamini wanao kupenda. Hapo juu kwa huyo jamaa wa kwanza ulikili kuwa alikupenda sana lakini wewe hukuonyesha kumjali hadi alipochoka ndipo ukaona umuhimu wake na kuanzia kumtafuta. Hakuna mtu anayependa kuchezewa hisia zake jitahidi kumthamini kidogo kadada hata kama hukumpenda.
Huyu mwingine naye utampoteza pia usipobadilika au unataka mpaka aje akupigie magoti?. Unajiloga mwenyewe wala usitafute mchawi hapo.
Hulali shem?Yaani bora amwache mshikaji wa watu anatafuta zake maisha huko nje. Vinginevyo utampotezea time baadae uanze kulia au yeye aliye na wewe.
Shem ndiyo kwanza kumekucha. Eeh za weweHulali shem?
Mm nko bomba kinomaa yan naona ndo kumekucha kwako big upShem ndiyo kwanza kumekucha. Eeh za wewe

Haha... vipi ndiyo umeshtuka au vipi!Mm nko bomba kinomaa yan naona ndo kumekucha kwako big up![]()
Ndo uck umeingia sasa natafakar kulala nikakuona hewanHaha... vipi ndiyo umeshtuka au vipi!
Mkuu hapa mwenye Tabia ya maringo ni huyu kadada. Huyo jamaa alimjali sana ila huyu hakuwa na ushirikiano mwisho wa siku jamaa alichoka na kuamua kumkalia kimya ndipo yeye akaanza kuhangaika. Huyu ndie mwenye makosa hapo.Achana na mwenye maringo, utalia kila siku.. Tena mtupilie mbali, ukipendwa utapenda tuu, wanawake tunajifunza kupenda sana tuu, mie yule kaka ambae haku show interest kwangu when I was craving for his love nishamtupia kwene dustbin and I'm happy. Stay with someone who loves u, uta enjoy kikubwa badili attitude yako. Hata usipoenda nje kwa huyo kaka ushauri wangu ni ule ule, penda unapopendwa..
Hapa mpaka kokoriko... karibu tuliendelezeNdo uck umeingia sasa natafakar kulala nikakuona hewan
Nadhani cjaeleweka yule wa kwanza nilimpenda mnoooo though hakuwa kunitamkia neno nikupenda,na mm kama mwanamke cwezi kumwambia nakupenda sana ur my everything NO because he Never approach bt action speak loud alivyokuwa ananijali kwa zawad,kunishauri vitu tofauti bt ttz ni moja alikuwa busy mnoo mpaka kunitafuta ni shida so mm ndo wakumtafuta cku zoteeeTatizo ninaloliona kwako kuwa wewe unajiona kama dhahabu na pia huna Tabia ya kuwathamini wanao kupenda. Hapo juu kwa huyo jamaa wa kwanza ulikili kuwa alikupenda sana lakini wewe hukuonyesha kumjali hadi alipochoka ndipo ukaona umuhimu wake na kuanzia kumtafuta. Hakuna mtu anayependa kuchezewa hisia zake jitahidi kumthamini kidogo kadada hata kama hukumpenda.
Huyu mwingine naye utampoteza pia usipobadilika au unataka mpaka aje akupigie magoti?. Unajiloga mwenyewe wala usitafute mchawi hapo.
Huyu wa pili cna hisia nae kabisaa though anaonyesha kunipenda mnooooTatizo ninaloliona kwako kuwa wewe unajiona kama dhahabu na pia huna Tabia ya kuwathamini wanao kupenda. Hapo juu kwa huyo jamaa wa kwanza ulikili kuwa alikupenda sana lakini wewe hukuonyesha kumjali hadi alipochoka ndipo ukaona umuhimu wake na kuanzia kumtafuta. Hakuna mtu anayependa kuchezewa hisia zake jitahidi kumthamini kidogo kadada hata kama hukumpenda.
Huyu mwingine naye utampoteza pia usipobadilika au unataka mpaka aje akupigie magoti?. Unajiloga mwenyewe wala usitafute mchawi hapo.
Leo ulilala mchana eeeh, sijakuona kwenye zile anga zetuHapa mpaka kokoriko... karibu tuliendeleze

Nililala wapi. Nahisi ninaugonjwa wa kukosa usingizi. Ulishapelekwa na mtu sehemu then ulipofika ukawa hupaelew? ??Leo ulilala mchana eeeh, sijakuona kwenye zile anga zetu![]()