Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Nmemzingua jana mchana
Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,
Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu
Safi Sana
Anademka demka TU Kama MAHARAGE mabichi Kwenye sufuria
 
Yeah hayo mambo ya kumtibua kisha ujifanye unaomba papuchi atakukera wala usijaribu kujibebisha!
Ha ha ha..anahitaji maombi uyo.

Uyo Atakua keshafanywa kua na Moyo mgumu Kama wa farao
images-261.jpg
 
Back
Top Bottom