tzfanatic
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 626
- 382
huu msemo wa kifala sana huuIla ukimmchunguza sana bata hutomla...
huu msemo wa kifala sana huuIla ukimmchunguza sana bata hutomla...
huu msemo wa kifala , saana huuUkimchunguza sana bata humli,
Kwa mawazo yakohuu msemo wa kifala , saana huu
Ni kweli wakishaenda vyuoni akili huwa sijui zinawaruka yaani hopeless maandazi kabisa, nina uzoefu naoKweli bhana But Wengine nyuso zao hazifanani na Matendo yao...
Asante sana Mkuu.. Tupo pamoja mkuu..Mkuu pole sana, ni upepo mmbaya tu na utapita mi pia nimetoka kuumizwa vibaya na mtoto wa chuo hivyo hivyo. Wana kilanga sana ila nimejifunza hamna haja ya kumlia yamini mwanamke...Mpe nafasi akiwa machoni mwako ila akiwa mbali usijihangaishe naye kwa lolote. Kama ni kulalamika atalalamika sana ila we fanya mambo yako tu. Ndivyo walivyo, they want love but at the end they fail to handle it.
Kutoa upendo wa dhati kwa hawa dada zetu ni sawa na kumpa mtoto mdogo glass ya maji aibebe ilihali uwezekano wa kudondoka nayo na kuivunja ni mkubwa na iko wazi.
So its better ukawa humchukulii serious mwanamke yeyote yule na hakikisha huwi nae mmoja ili uweze kubalance hisia zako. Ni washenzi sana na wasahaulifu mno na hasa akijua yupo pekeake na unampa attention 100% kila anapohitaji. Lazma atakusaliti tu hata awe mpole kama malaika, naongea with experience na huu ndio ukweli.
Yote ya yote neno langu sio sheria nj ushauri tu mkuu. Namge
Hao innocent ndio wanabadilikaga vibaya hutaamini. Huwezi dhania kuwa ni yeye atakapokuchenjia.Mkuu acha.. U will never know a woman.. She might sound so innocent but it is a matter of time tu Mkuu
Njoo kwangu mana hata mimi umetatuka tushonane tuuHata na mm moyo wangu umeraruka natafta wa kuuoshona [emoji14] [emoji14]
Njoo nikuuguzeAsante Mkuu....nshapoa japo bado nauguza nafsi moyo wangu.
Wahii huku mweeeh!!!ila pole mapenzi yanauma sana uwiiii km nakuona.Si uchoyo Mkuu.. Umri wangu Umefika sehemu I must have a perfect future partner.. for marriage but ndo ivo unachangia kodi mwenzio akae comfortable... Yeye anageuza guest room..ts very painful bora hata Ningekuwa namchukulia poa...
Ndo ukome kufuatilia maisha ya watu sasaJamani wana jamnvi,
Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.