sauti ya mpenzi wake ina maanaWanakaa wangapi kwenye hiyo room yao? Unauhakika gani ni yeye anagegedwa na si mwingine?.
UKIMALIZA KUISOMA HI COMMENT YANGU NENDA KACHEKI AFYA KABISAJamani wana jamnvi,
Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
Ukweli mtupu Mkuu hawa ni kuwa nao wengi mana hawaeleweki yupi atasavaive..atakae kupenda akupende lasvyo hamna haja ya kumbembeleza akisepa apotee wala usimuulize kwann hadi ashangae njemba vipi hii hata hailalamiki!! Wanawake kitu cha ajabu sana sijawahi ona mimiMkuu pole sana, ni upepo mmbaya tu na utapita mi pia nimetoka kuumizwa vibaya na mtoto wa chuo hivyo hivyo. Wana kilanga sana ila nimejifunza hamna haja ya kumlia yamini mwanamke...Mpe nafasi akiwa machoni mwako ila akiwa mbali usijihangaishe naye kwa lolote. Kama ni kulalamika atalalamika sana ila we fanya mambo yako tu. Ndivyo walivyo, they want love but at the end they fail to handle it.
Kutoa upendo wa dhati kwa hawa dada zetu ni sawa na kumpa mtoto mdogo glass ya maji aibebe ilihali uwezekano wa kudondoka nayo na kuivunja ni mkubwa na iko wazi.
So its better ukawa humchukulii serious mwanamke yeyote yule na hakikisha huwi nae mmoja ili uweze kubalance hisia zako. Ni washenzi sana na wasahaulifu mno na hasa akijua yupo pekeake na unampa attention 100% kila anapohitaji. Lazma atakusaliti tu hata awe mpole kama malaika, naongea with experience na huu ndio ukweli.
Yote ya yote neno langu sio sheria nj ushauri tu mkuu. Namge
Jamani wana jamnvi,
Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
Yaani unazingua kishenziHata HIVYO NI vizuri umeyajua HAYA mambos mapema kuliko kuja kukuharibia FUTURE YAKO BAADAE,NA NIVIZURI UKAMWAMBIA HIVI UWEZI KUJUA REACTION YAKE NI IPI NA ANAWEZA KUWA NA SABABU ZA MSINGI,LAKINI KAZI YA MOYO KUSUKUMA DAMU KUPENDA TUMIA AKILI,KINYUME NA HAPO UTAKUWA MWANAFALSAFA,BRO,KUWA MWANAUME SIO KUVAA SURUALI TU,NIKUPANGA NA KUCHAGUA PLAY UR PARTY.
Sawa la kifala, swali je ni binti gani kwa dunia ya leo, ukifuatilia background yake utatamani kuishi nae?huu msemo wa kifala sana huu
Piga moyo konde kila kitu no maandikoAlikuwa kwenye plan ya kuwa msaidiz wa maisha.. Ubavu wangu.
But ndo ivo moyo wa mtu kichaka..