Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
Umeonaaee, ndo maana nikakushtua.Kwani hilo kosa ndio linamtesa yule mbunge wetu nini? basi nimekuelewa mkuu.
Acha uchochezi
Umeonaaee, ndo maana nikakushtua.Kwani hilo kosa ndio linamtesa yule mbunge wetu nini? basi nimekuelewa mkuu.
asante sana mkuu, waonekana wanijali na kunitakia mema kweli ndo maana hutaki niangamie, thanks once again.Umeonaaee, ndo maana nikakushtua.
Acha uchochezi
Your welcome!!!!!!asante sana mkuu, waonekana wanijali na kunitakia mema kweli ndo maana hutaki niangamie, thanks once again.
[emoji23][emoji23][emoji23]'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
Umecheka au umenuna nini mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Asane sana toto zuri.Your welcome!!!!!!
hahahahaSikio la kufa..... Hawezi kukusikia mpaka apofushwe na scorpion
Vipi mkuu. Demu anatoa ndogo ?Asante Mkuu....nshapoa japo bado nauguza nafsi moyo wangu.
Ndo ivo Mkuu Kuna harufu ya hako ka mchezo
Wapo hvo mkuuUkimwona hata huwez amini.. Very innocent face But daah haya bhana
Jamani wana jamnvi,
Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
I like one side of U, Ur a man of facts! My dear piga moyo konde yaan life span ya mapenzi siku hizi ni kama sukari kwnye chai. Mpige chini then pause kidogo jipe vocation of love! ukiresume uje kivinginee
Ushauri muruwaaa...Duuuuh!! Hatareee cpat picha ulivokuwa unaisikilizia voice yake ulikuwa kweny hali gan mkuu,ila usimuulize wala nn Fanya yako