Mapenzi yameurarua moyo wangu

Mkuu....
Ebu acha kulalamika.
Fanya kama nilivyo fanya Mimi, kisha endelea na maisha yako
 
siku nyingine tegesha video ya siri kisha utuletee hapa, haya mambo ya audio hayana mzuka kabisaaaaa.
Watanikimbizia jukwaani.. Wakat ndo mahali pekee napotolea stress zangu...
 
Mkuu....
Ebu acha kulalamika.
Fanya kama nilivyo fanya Mimi, kisha endelea na maisha yako
Clalamiki Mkuu... Nshakubali asepe.. Coz I don't think kwa ushahid huu naweza kuendelea kuwa na amani na huyu kiumbe...
 
usiwe mchoyo
Si uchoyo Mkuu.. Umri wangu Umefika sehemu I must have a perfect future partner.. for marriage but ndo ivo unachangia kodi mwenzio akae comfortable... Yeye anageuza guest room..ts very painful bora hata Ningekuwa namchukulia poa...
 
Mabinti wa vyuoni wengi hawatongozwi, huwa ni urafiki urafiki tu wa kujifanya kidume anamjali hadi analala naye. Wa kwangu nilimwambia kabla hajaenda, akawa anakataa ila mwisho wa siku aligeuzwa hovyoo kabisa.
 
Kweli mapenzi yamerarua moyo wako maana Hata avatar yako tu. Inaonesha hivyo.

Kwenye mapenzi ukiwa na moyo mwepesi utalia kila siku. Mtafute mwingine sasa
 
Back
Top Bottom