Mapenzi yameurarua moyo wangu

Mapenzi yameurarua moyo wangu

Hata HIVYO NI vizuri umeyajua HAYA mambos mapema kuliko kuja kukuharibia FUTURE YAKO BAADAE,NA NIVIZURI UKAMWAMBIA HIVI UWEZI KUJUA REACTION YAKE NI IPI NA ANAWEZA KUWA NA SABABU ZA MSINGI,LAKINI KAZI YA MOYO KUSUKUMA DAMU KUPENDA TUMIA AKILI,KINYUME NA HAPO UTAKUWA MWANAFALSAFA,BRO,KUWA MWANAUME SIO KUVAA SURUALI TU,NIKUPANGA NA KUCHAGUA PLAY UR PARTY.
 
Kweli mapenzi yamerarua moyo wako maana Hata avatar yako tu. Inaonesha hivyo.

Kwenye mapenzi ukiwa na moyo mwepesi utalia kila siku. Mtafute mwingine sasa
Najikusanyakusanya Mkuu nisonge mbele...
 
Hata HIVYO NI vizuri umeyajua HAYA mambos mapema kuliko kuja kukuharibia FUTURE YAKO BAADAE,NA NIVIZURI UKAMWAMBIA HIVI UWEZI KUJUA REACTION YAKE NI IPI NA ANAWEZA KUWA NA SABABU ZA MSINGI,LAKINI KAZI YA MOYO KUSUKUMA DAMU KUPENDA TUMIA AKILI,KINYUME NA HAPO UTAKUWA MWANAFALSAFA,BRO,KUWA MWANAUME SIO KUVAA SURUALI TU,NIKUPANGA NA KUCHAGUA PLAY UR PARTY.
Thank you brother
 
Wahenga walishasema ukimchunguza bata hutamla..hayo ndio matokeo yake, Bora ungebaki na kuhisi tu kuliko hivyo umejua ukweli.Ukweli mchungu.
 
Yaani ukitaka kufa pressure mchunguze mtu mzima, ni changamoto kwa kweli ila hamna namna mwache aende
 
'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
 
Huo ni uchochezi
 
'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
Alikuwa kwenye plan ya kuwa msaidiz wa maisha.. Ubavu wangu.

But ndo ivo moyo wa mtu kichaka..
 
Labda hujaelewa concept yangu, hukuwa na kadem kengine? mpaka unamruhusu huyu kurarua moyo wako.
 
Back
Top Bottom