Mapenzi yameurarua moyo wangu

Mapenzi yameurarua moyo wangu

Wewe usimdhalilishe demu wako kwa kuweka sauti yake hapa.Kama unaona kwa tabia hizo huwezi kuendelea naye basi tupa kule chapa lapa....!!!!! Kwa ushauri tu next time usiweke hizo recording device utaishia kuacha hata mkeo nini demu tuuu.Jitahidi kugegeda vizuri ili usipatwe na majanga tena.
 
Pole sana mkuu, ila jipe moyo,jifunze kumuacha aende then anza upya. Sema sometimes ma binti wa chuo nao ni umiza kichwa sana
 
I like one side of U, Ur a man of facts! My dear piga moyo konde yaan life span ya mapenzi siku hizi ni kama sukari kwnye chai. Mpige chini then pause kidogo jipe vocation of love! ukiresume uje kivinginee
 
Duuuuh!! Hatareee cpat picha ulivokuwa unaisikilizia voice yake ulikuwa kweny hali gan mkuu,ila usimuulize wala nn Fanya yako
Ucku wa jana ulikuwa mgumu... Sijamuuliza bado.. Ila natamani nimtumie hizi audios... Halafu siulizi kitu..
 
Jamani wana janvi.. Hivi Karbun nlianza kutia shaka nyendo za mpnz wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini... Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, Kwa Siku za Karbun amekuwa akidai ana msululu wa test kias kwamba anahtaji break kidogo.. apate mda kidogo wa kujisomea zaid na marafiki zake.. (group discussion) mi hewala bhana Ckuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA Kali bhas Kher..
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo..
Ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua Kupachika kinasa sauti Chumban kwake ki Intelligencia Ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafik zake kias cha mimi kutomjulia hali ni zipi..
Baada ya kuwa nmepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo Cku ya mapumziko Nmeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari
Ni binti kachezeshwa Gwaride la kiutu uzima.. Na dalili zote za mchezo haramu..
Najarbu kutupia kipande cha recordings nashindwa..
Ila kiufupi.. Huyu mpenz mwana zuoni amenshinda tabia..

NB.. Mwenye kuweza kunielekeza namna ya kuapload audio anielekez Ili niweze kuleta Japo kipande kimoja cha recordings hizo.
Mnajitafutiaga presha zisizo za lazima...
 
Wewe usimdhalilishe demu wako kwa kuweka sauti yake hapa.Kama unaona kwa tabia hizo huwezi kuendelea naye basi tupa kule chapa lapa....!!!!! Kwa ushauri tu next time usiweke hizo recording device utaishia kuacha hata mkeo nini demu tuuu.Jitahidi kugegeda vizuri ili usipatwe na majanga tena.
Kugegeda niko vizur.. Cjisifu But I know ngosha mchezo naujua.. But audio zake zinanipa shaka May be ni kale kamchezo ka pwani ndo maana nmejiuliza Sana mkuu
 
Ucku wa jana ulikuwa mgumu... Sijamuuliza bado.. Ila natamani nimtumie hizi audios... Halafu siulizi kitu..
Good idea
Mtumie hivo audio halafu usiulize kitu,
Ila mkuu mm pia natafuta hako kakinasa volume mkuu,ulikapataje
 
I like one side of U, Ur a man of facts! My dear piga moyo konde yaan life span ya mapenzi siku hizi ni kama sukari kwnye chai. Mpige chini then pause kidogo jipe vocation of love! ukiresume uje kivinginee
Thanks Mkuu...
 
Chuoni mademu wanaliwa sana,.. mpaka wake za watu wanapigwa sana. Ni kawaida. akirudi ni wako, ya chuo yaache hukohuko.
 
Good idea
Mtumie hivo audio halafu usiulize kitu,
Ila mkuu mm pia natafuta hako kakinasa volume mkuu,ulikapataje
Kapo Mkuu na waandishi wa habar huwa wanakatumia Sana asee..

NB😀ont try asee unaweza ukaua...
 
Jamani wana jamnvi,

Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.

Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.

Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.

Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.

Pole sana sana Mkuu
 
siku nyingine tegesha video ya siri kisha utuletee hapa, haya mambo ya audio hayana mzuka kabisaaaaa.
 
Back
Top Bottom