Mapenzi yameisha ama?????

Kaka Kimbweka mwenzio wife wangu hapendi kupiga pasi kabisaa miaka yote 8 ya ndoa mie ndo nampigia pasi kila tunapotaka kwenda kwenye mishe mishe. nisipokuwepo yeye hupigiwa pasi na HG wetu. mimi sipendi kupigiwa pasi na HG but kuna vitu huwa napaswa kuvifanya mimi lkn yeye huvifanya kwa moyo mmoja. so mkuu usikariri sana kwamba wife lazima akupigie pasi, na yeye mpe nafasi achague nini anaweza fanya kwa moyo. Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda. Mwenzangu yeye anakipaji cha ku bargain so mimi huitwa tu wakati wa kuangalia na kulipia nyumba pale tunapotafuta house ya ku rent, hii kazi ya kutafuta house yeye huifanya na anaiweza kwa sana tuu labda kwa vile ni mtoto wa kichaga so anajua pesa inatafutwaje. Kwa ujumla ukimtuma kazi anaifanya vile unavyotaka ifanyike. Mimi ndo main bread winner yeye anafanya biashara ya kawaida tuu. Mkuu jitahidi sana kumsoma wife wako uwezo wake upo wapi mpe nafasi , sometimes si mapenzi yamepungua ila wapi uwezo wake upoo, na kuwepo na kusaidiana sometimes ule ubaba tuuondoe kidogo, ukimpa nafasi nadhani smile lile la UCHUMBA litarudi tena

Sasa mkuu mke alishaizoesha hii tabia ya kupiga pasi halafu ghafla bin vuuu inatoweka si inabidi ujiulize:becky::becky:
Mzee kama unakumbuka kuna sehemu nilishawahi sema pia mie nina kipenda roho cha kufua masoksi ya nanii .......... makufuli:becky:
 
Kwani umesikia wanaume suruali hawafanyi kazi? wanafanya kazi lakini akishaona mkewe ana kazi basi majukumu yote anamuachia mama anaondoka patupu akirudi anataka akute chakula, apigiwe pasi n.k ndio maana mke anaona bora ujifanyie kazi wewe mwenyewe na inaonyesha pia huna maelewano mazuri na mkeo. Na hata huyo hg anajua kabisa mama ndio mwenye kuprovide kila kitu ndio maana hata hakunyooshei pasi. Kwanza inaonyesha umeolewa inabidi wewe ndio uwe unampigia pasi mkeo ungekuwa umeoa kikweli kweli mwanamke ni mwanamke tu lazima awe chini hawezi kukataa kukupigia pasi

sasa hapo maty si hata kwenye unyumba huyo mama anamsumbua sana huyo mwanaume suruali (kama unavyomuita) unakuwa unaamrishwa tu!we imetosha.............,geuka huku.........,usiniguse/usinishike n.k.?
 
Kaka Kimbweka mwenzio wife wangu hapendi kupiga pasi kabisaa miaka yote 8 ya ndoa mie ndo nampigia pasi kila tunapotaka kwenda kwenye mishe mishe. nisipokuwepo yeye hupigiwa pasi na HG wetu. mimi sipendi kupigiwa pasi na HG but kuna vitu huwa napaswa kuvifanya mimi lkn yeye huvifanya kwa moyo mmoja. so mkuu usikariri sana kwamba wife lazima akupigie pasi, na yeye mpe nafasi achague nini anaweza fanya kwa moyo. Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda. Mwenzangu yeye anakipaji cha ku bargain so mimi huitwa tu wakati wa kuangalia na kulipia nyumba pale tunapotafuta house ya ku rent, hii kazi ya kutafuta house yeye huifanya na anaiweza kwa sana tuu labda kwa vile ni mtoto wa kichaga so anajua pesa inatafutwaje. Kwa ujumla ukimtuma kazi anaifanya vile unavyotaka ifanyike. Mimi ndo main bread winner yeye anafanya biashara ya kawaida tuu. Mkuu jitahidi sana kumsoma wife wako uwezo wake upo wapi mpe nafasi , sometimes si mapenzi yamepungua ila wapi uwezo wake upoo, na kuwepo na kusaidiana sometimes ule ubaba tuuondoe kidogo, ukimpa nafasi nadhani smile lile la UCHUMBA litarudi tena

kama wafanya yote haya nakupongeza na mkeo ana bahati sana kuolewa nawe!
 
I put bold on ur words.
 
Sasa mkuu mke alishaizoesha hii tabia ya kupiga pasi halafu ghafla bin vuuu inatoweka si inabidi ujiulize:becky::becky:
Mzee kama unakumbuka kuna sehemu nilishawahi sema pia mie nina kipenda roho cha kufua masoksi ya nanii .......... makufuli:becky:

Hapo mkuu kama ameacha ghafla tuu basi kuna kitu, si bure, jamaa akae chini na wife wake amuulize. Sometimes hawa wenzetu utakuta kanuna tuu hata wiki hakuambii ni nini kinaendelea so jamaa anatakiwa amtoe out ampeleke favourite place anayopenda huyo mama akiridhika atasema nini kinamkera
 
Niko single ila natafuta mchumba nina watoto watatu kila mtu na baba yake

safi kabisa,kumbe ndo maana unapigana kutafuta ''mwanaume ambaye sio suruali ''ili akutunzie hao watoto!keep it up!
 
sasa hapo maty si hata kwenye unyumba huyo mama anamsumbua sana huyo mwanaume suruali (kama unavyomuita) unakuwa unaamrishwa tu!we imetosha.............,geuka huku.........,usiniguse/usinishike n.k.?

Habari ndio hiyo, inabidi achangamke atetee uanaume wake
 
kama wafanya yote haya nakupongeza na mkeo ana bahati sana kuolewa nawe!

Yap anajua hilo na ni vitu ambavyo ni vya dakika chache tuu haviitaji muda mrefu kuvifanya lkn impact yake ktk ndoa ni kubwa
 
Wewe huwa unampigia mmeo:becky::becky:

hapana na thats from day one hatujazoeshana hivyo, namfulia nampikia thats me! lakini vikazi vidogo anajitegemea na hajawahi kuniambia nimpigie pasi
 
safi kabisa,kumbe ndo maana unapigana kutafuta ''mwanaume ambaye sio suruali ''ili akutunzie hao watoto!keep it up![/QUOTE

Sio anitunzie wanangu, wanangu natunza mwenyewe naogopa mwanaume suruali kwani akija atapunguza mahitaji ya watoto wangu badala ya kuwatunza watoto wangu anaongezeka na yeye mtoto wa mwanamke mwenzangu mwingine anataka nimhudumie. Inakuja????
 
Yap anajua hilo na ni vitu ambavyo ni vya dakika chache tuu haviitaji muda mrefu kuvifanya lkn impact yake ktk ndoa ni kubwa

ni kweli vina impact kubwa ktk ndoa, mwanmke anajisikia anapendwa wakati wote
 
hapana na thats from day one hatujazoeshana hivyo, namfulia nampikia thats me! lakini vikazi vidogo anajitegemea na hajawahi kuniambia nimpigie pasi

Anabadilisha na nepi za watoto:violin:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom