Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,408
- 185,026
Evelyn Salt yafutwe au yasifutwe...
Mapenzi yafutwe, tendo lifutwe, wanaopendana waoneshwe cha mtema kuni.....Evelyn Salt yafutwe au yasifutwe...
Noamba nioneshwe cha mtema kuni mpaka akili inikae sawa...Mapenzi yafutwe, tendo lifutwe, wanaopendana waoneshwe cha mtema kuni.....
Nyie mnaopendana pendana mnatuchelewesha yani kama nchi tunachelewa sana 😁Noamba nioneshwe cha mtema kuni mpaka akili inikae sawa...
Hata wewe unapenda na unapendwa, mnapendana... Mnyongwe kabisa...Nyie mnaopendana pendana mnatuchelewesha yani kama nchi tunachelewa sana 😁
Mapenzi yafutweTayari huko man down
Utakua sugu kama mtu flan humu,kal za uso sana kwenye mapenz mwaka huuMapenzi yafutwe
YafutweeeeUtakua sugu kama mtu flan humu,kal za uso sana kwenye mapenz mwaka huu
Halafu yaandikwe upyaMapenzi yafutwe
Hapa tutatafakariHalafu yaandikwe upya