Mapenzi ya simu,tuliachana kabla ya kuwahi kuonana

Mapenzi hisia mama,kuna vipofu wanawivu balaa na hawajawahi kuwaona wenzi wao
Sasa hao unaongelea vipofu ambao wanaongozwa na hisia katika kila jambo...mi ambaye nishazoea kuona wapenzi wangu wote naona ni ngumu kuwa na mapenzi ya dizaini hii
 
Hayo mapenzi kwenye simu mlikumbuka kinga lakini?

Hivi unampendaje mtu katika simu tu?mi nashindwa kuelewa kwa kweli mtu anakuwaje na 'mapenzi mazito' na mtu ambaye hajawahi muona...unakuwa umependa nini haswa?
kwa zamani kabla FB Insta na whatsapp iliwezekana
ole wako demu ukosee kupiga simu ikatua kwa men ikawa wrong number utafukuziwa mpaka
basi mapenzi uanzia hapo
lkn pia nakumbuka facebook wakat inaanza ukipata demu inakuwaga mapenzi ya kweli kabisa mnadumu na wakweri sio hawa wa sasa nitumie nauri
nakumbuka mwaka 2009 nilipata demu facebook ambaye tulikuwa wapenzi mpk mwaka 2011 alivyoenda ughaibuni kusoma penzi likafa kwa 7bu zilizo nje ya uwezo wetu
mapenzi ya simu kumbukunbu inarudi mwaka 2006 mpk 2007 demu tulionana mara moja tu alikuja likizo Dar kwa shangazi yake siku kaja dukani tukakutana na kesho yake ndo anaondoka chakufanya nikampa namba ya simu yangu nikamwambia anitafute yeye hakuwa na simu baada kuondoka kwao DODOMA akaenda zake sec Songea girls ndo akanitafuta ilikuwa mwendo wa simu kwa mwaka na nusu mpk tulivyoachana kwenye simu
inafurahisha sana mnagombana kwenye simu mnapatana kwenye simu
SEX kwenye simu ni Usiku na tigo tigo bure ile ukipiga baada dakika 5 kuendelea ni bure ila usikate tu simu basi hapo sex via simu huchukua nafasi
 
Duh!hata hivyo inaonekana ni mazuri kiasi chake
Sex katika simu ni kutesana pia hakyanani!
 
Duh!hata hivyo inaonekana ni mazuri kiasi chake
Sex katika simu ni kutesana pia hakyanani!
illikuwa zamani kwa sasa umri huu ni mateso tu na haiwezekeni kwa mm tena ila zamani ilikuwa poa tu mtu kukaa hata miezi 6 bira kudo ilikuwa shega tofauti na sasa siku tatu kupita tu mtihani
so mapenzi kwa simu ilikuwa kitu cha kawaida tu enzi ya uteeneger kabla kizazi cha dotcom facebook na insta
 
Ndio maana network zinasumbua, kumbe mnafanyia huko kwa simu!
Itabidi tuanzishe huduma ya kutuma manii, unamtumia mpenzi then anajiwekea huku unampa mzuka kwa simu, mtoto akizaliwa sijui utamuita "kwasimu" au "kasimu"
Hahahahahaha
 
Duu nilipata mmoja kwenye simu 2007 bwana wewe uyu alikua muimba kwaya kila j pili naulizwa kama nimeenda kanisani wote tulikua mwanza lakini mitaa tofauti siku naonana naye nilikoma bibi sio bibi mama sio mama nilitamani kukimbia nikajikaza kiume tkasalimiana ndo mwisho wa kufanya uo upuuzi kwenye simu
 
Ulikuwa unamtumia ka dushe kako nae anakutumia papuchi? Basi ulizini kaungame
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom