Mapenzi ya simu,tuliachana kabla ya kuwahi kuonana

Mapenzi ya simu,tuliachana kabla ya kuwahi kuonana

Shida yote ya nini?pigeni ngunga tu aka nyeto..
 
Leo nimepata wasaa wa kukumbuka historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na kina Dada niliowahi kujamiiana nao.

Nimefarijika kuona records sio mbaya sana. The list is short kama utekelezaji wa ahadi za Magufuli.

Kukumbuku ya kijinga ni hii ya kuwa na mahusiano "ya kwenye simu" na mtoto akiitwa Teddy(sio jina lake halisi).

Ilikuwa mwanzoni mwa 2011 nikihangaika kutafuta ajira hapa na pale baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza. Nakumbuka nilipewa namba yake na mdogo wangu wa kike akiwa ni mate wake secondary moja huko Kahama,lengo ilikuwa anipekelee barua ya maombi pale Anderlake schools.

Nikamuunganishia juu kwa juu mpaka tukawa wapenzi,mapenzi mazito kabisa,nikiwa Dar yeye hapo Kahama. Kipindi hicho sikuwa na mzuka sana na mademu kwa sababu nilitoka kuachwa baada ya kutokuwa na kazi. Kwa hiyo hata kumfungia dogo safari haikuniingia akilini. Ajabu dogo alikuwa akinikubali sana,ananipenda kuliko kawaida mpaka ananitumia nauli za kutafutia kazi..... Hatujuani wala hayujawahi kuonana.

Ikapita miezi sita kavu.....mwisho ikatimia mwaka tukiishi kama wapenzi tukiaminiana na kutumia kadi na picha zetu....Usiku kukesha kufanya mapenzi kwenye simu.

Likatokea tatizo(sitaweza kulitaja) baada ya mwaka tukaachana huko huko kwenye simu.....yaani tulikuwa wapenzi kupitia simu , tukadumu mwaka......tukaachana kabla ya kuwahi hata kuonana.

This is foolish moments

Mapenzi ya kwenye simu, wewe unakumbuka yapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hayo mapenzi kwenye simu mlikumbuka kinga lakini?

Hivi unampendaje mtu katika simu tu?mi nashindwa kuelewa kwa kweli mtu anakuwaje na 'mapenzi mazito' na mtu ambaye hajawahi muona...unakuwa umependa nini haswa?
Usinifanye nitoswe na kapeace wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MwanaMsimbazi mwenzangu Nimecheka sana! Thanks my morning is good!
 
Dah! kuna jamaa yangu kipindi tupo school boarding alikuwa anagegedana na demu wake halafu anaweka loudspeaker demu anagugumia balaa! baada ya hapo kila mtu anashika njia yake kwenda kupiga punyere!
 
Hahahahahahahahahah
Umenikumbusha,

Kuna mmoja nae hivyohivyo ,siku moja ameniambia Leo nasafiri naelekea mji unaofuata naomba nitumie heal kidogo inidaidie wakati wa kuludi,ila akaniwekea mipaka kwamba,simu yake itazima chaji kwahiyo nimtumie ataikuta ,nilichofanya mimi nikamtumia kwanza msg ya kawaida nikiona kawasha sim na nitamtumia hapohapo.matokeo yake kawasha sim saa 7 za usiku mala1 na kuzima.

Wakatihuo kabla hajaanzisha safari jana yake simu yake ilikua busy Kalibu saa nzima ,namuuliza fatizo nini anajifanya analia, anadanganya ninamatatizo ukimuuliz tatizo gani anajing'atang'ata.

Nikamwambia sasa sitaki hata kuonana na wewe.

Nilimtumia alichokua anataka kwasabu tu nilikua nimeshapanga kufanya hivyo.
 
Ukamtumia na helaa tena..??? Apate nguvu ya kumtumikia mume mwenzio vyem???
 
Ukamtumia na helaa tena..??? Apate nguvu ya kumtumikia mume mwenzio vyem???
Eeeh,
Kwakua nilimuahidi kumtumia,
Na kwa vile nilishajua ujanja wake ,
Hakukua na umuhimu wa kuacha,ila nilimwambia,
MWANAMKE WA AINA YAKO HATA TUKIKUTANA UTANISUMBUA HUKO BAADAE ,BORA TUSIONANE TU.
 
Dah! kuna jamaa yangu kipindi tupo school boarding alikuwa anagegedana na demu wake halafu anaweka loudspeaker demu anagugumia balaa! baada ya hapo kila mtu anashika njia yake kwenda kupiga punyere!
Hahaaa! Si mlikuwa mnachanganyiwa mafuta ya taa kwenye maharage, au tuseme nyinyi ndo mlikuwa chaputa sugu.
 
Hahaaa! Si mlikuwa mnachanganyiwa mafuta ya taa kwenye maharage, au tuseme nyinyi ndo mlikuwa chaputa sugu.

hahaha tulikuwa member waaminifu wa kile chama hadi tulipewa V.I.P cards! mafuta ya taa yalizishindwa hisia zetu kali mkuu!
 
Duu nilipata mmoja kwenye simu 2007 bwana wewe uyu alikua muimba kwaya kila j pili naulizwa kama nimeenda kanisani wote tulikua mwanza lakini mitaa tofauti siku naonana naye nilikoma bibi sio bibi mama sio mama nilitamani kukimbia nikajikaza kiume tkasalimiana ndo mwisho wa kufanya uo upuuzi kwenye simu

Mnafanana maana si wewe hapo kwenye ID yako
 
Duu nilipata mmoja kwenye simu 2007 bwana wewe uyu alikua muimba kwaya kila j pili naulizwa kama nimeenda kanisani wote tulikua mwanza lakini mitaa tofauti siku naonana naye nilikoma bibi sio bibi mama sio mama nilitamani kukimbia nikajikaza kiume tkasalimiana ndo mwisho wa kufanya uo upuuzi kwenye simu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom