Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Daby, zamani wanawake walikuwa wanabaki nyumbani kulea watoto na kufanya kazi za nyumbani wakati wanaume wakienda kuwinda.
Kipindi hiki wawindaji hodari walishobokewa na wanawake kwasababu they could simply bring food on the table na hivyo kuhakikishiwa kutolala njaa.

Hata baadae ambapo watoto wakiume pekee walipokuwa wanapelekwa shule wasichana walivutiwa na wanaume waliosoma na waliokwenda mjini kuliko wale waliobaki kijijini. Simply, survival.

In this modern age, mwanamke amepewa nafasi sawa na mwanaume katika 'kuwinda' ili ifike mahali mwanadamu yeyote despite their gender aweze kujitegemea.

Ila I believe there is still the cave man and cave woman inside us.
Kabla ya kuongelea upendo, kuna mvuto ambao mtu anaona kwa mtu mwingine.
In this age mwanamke hawezi kumshobokea mwindaji tena but atamshobokea mwanaume mwenye POTENTIAL ya kuPROVIDE.
And that's the bitter truth.

Patriarchy has deeper roots than we think. So japokuwa mwanamke anauwezo wakuwinda bado mwanaume is expected to provide.

So tukija kwenye hii ishu, well its patriarchy yes but sema a more materialistic one than survival. Cause mwanamke wa saivi hahitaji mwanaume kula.

Ila patriarchy makes sex a bait. A disadvantage for men, an advantage for women. Mwanaume was saivi atamuomba number mwanamke. Interpretation yake ni kuwa unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi au to simply have sex.

Either way, you need to try to convince her enough to get in her pants or start a relationship with her. And how are you going to convince her?

So, what so shocking when a woman gives you extra attention when you give her something materialistic?

Ingekuwa sex inachukuliwa kama need ya mwanaume na mwanamke equally wanaume wasingepata shida. Ila ndio hivyo sio kila kitu mwanaume atakuwa equal na mwanamke-kuna biological and evolutionary reasons.

So mwanaume ukishobokewa after giving anything materialistic to a woman ni kawaida. Sema kwasababu tu ya life standards za saivi kuwa wanawake tunawinda pia basi inaonekana kama unyonyaji.

By the way it's hard a woman akushobokee out of nowhere cause you just have her number and want to chitchat, just ask her on a date and see if she's interested or not. Chivalry my Tanzanian men,Chivalry.

Ushauri wangu, choose what you can handle leave what you can't handle. That's the beauty of this world, a lot of options. But sadly we rarely end up with what we want.
 
Kuna manzi aliniomba 20k, nikampa muda huohuo....

Kesho yake anaanza kuniuliza natoka kazini saa ngap, mara anataka niende mtaan kwao, kumwambia aje kwanza yeye, anauliza nakaa wapi.....

Kweli akaja.......
 
Asante kwa maelezo ya kitosha....bila shaka umetumia muda kuandika. Nilihamu mwandiko wako lakini.
 
Mkuu asilimia 99 ya wanawake sasahivi wamekuwa wa aina hii, ni kama ugonjwa unaowaambukiza yani. Anaanza kwa kutokuwa na time na ww ukimtumia hela mnaanza kuwa marafiki wa uongo na kweli.
 
Yeah.
True love ni kumpenda someone unconditional. True love doesn't make any conditions like I will love you kama utanipa hela au kama hautaniomba hela ,or I love you because you are so beautiful or you are good I bed and what not.

And yes it definitely does exist NOW and forever but it's not in a way that most people expect. Some of y'all need a lesson on maturity coz mnadhani kwa sababu mtu amekuomba hela basi mnafuta kabisa kwamba mapenzi ya kweli hayapo, au hamna mapenzi. Mtu kukuomba hela anaweza kukuomba kwa sababu a nakupenda na she's/he's comfortable to share her /his problems with you. Y'all should be proud of that.

Mapenzi ya kweli yapo lakini hautoyapata kwa kila mtu, is so rare these days but can't hide the fact that it does exist. Mtu umefosi kumpenda mtu ambaye sio your soulmate amekutenda then unafunga kurasa kwa kuconclude kwamba mapenzi ya kweli hayapo ...hell no yapo sana na tunayafurahia.

"why should i be the one who tries to get your attention and not vice verse? "
Hii ni kawaida, But if we want to let a man know that we are interested in him kuna vitu huwa tunafanya na nyie mnajiongeza kama nyie mnavyodhani kwamba mkitupa hela ndiyo tutaamini mnatupenda.

Alright i get your general concept of what you call true love, it is all about unconditional companionship solely built off affection from both sides..right?Now lets to push this idea into reality and see if it really works;

Does the current generation follow that cliche? kweli kabisa kizazi hiki kuna watu wanaingia kwenye mahusiano wakiongoza na affection? na hasa wanawake!!?

Allow me to tilt my argument towards women side as my first comment entails!

How many ladies you know who can jump into relationship with a guy whom they fully know that they are better than him financially?

How many of you ladies are ready to make a sacrifice of your livelihood for helping a guy to live up to his potential like Michelle did to Obama?

How many of you ladies willingly get into relationship without expecting anything bigger in return from the guy?

With regarding to your definition of true love i dare say true love doesn’t exist, kwanini? Kuombwa hela siku hizi imekuwa kama prerequisite ya mahusiano! ukitoa hela ndio unapewa attentions na sifa kede kede na usipotoa unapuuzwa na kutolewa maneno ya kejeri kama mvulana,dume suluali n.k.

Hauwezi ukanishirikisha mimi kwenye matatizo yako halafu baada ya kuona sina uwezo wa kukusaidia ukanipuuza kisha baadae useme eti unanipenda, hicho kitu hakipo.

Mapenzi ya kweli hayapo these days it only exists in utopia. The only true love remains in between people of opposite genders is that of mother and son or daddy and daughter.

Hahaha.. Cute B bwana, sasa kwanini mpaka muoneshe viashara ishara hili sisi ndio tujiongeze, kwanini hata nyie msitufuate na kutupiga vesi kama sisi tunavyofanya? hahahaha.
 
Daby, zamani wanawake walikuwa wanabaki nyumbani kulea watoto na kufanya kazi za nyumbani wakati wanaume wakienda kuwinda.
Kipindi hiki wawindaji hodari walishobokewa na wanawake kwasababu they could simply bring food on the table na hivyo kuhakikishiwa kutolala njaa.

Hata baadae ambapo watoto wakiume pekee walipokuwa wanapelekwa shule wasichana walivutiwa na wanaume waliosoma na waliokwenda mjini kuliko wale waliobaki kijijini. Simply, survival.

In this modern age, mwanamke amepewa nafasi sawa na mwanaume katika 'kuwinda' ili ifike mahali mwanadamu yeyote despite their gender aweze kujitegemea.

Ila I believe there is still the cave man and cave woman inside us.
Kabla ya kuongelea upendo, kuna mvuto ambao mtu anaona kwa mtu mwingine.
In this age mwanamke hawezi kumshobokea mwindaji tena but atamshobokea mwanaume mwenye POTENTIAL ya kuPROVIDE.
And that's the bitter truth.

Patriarchy has deeper roots than we think. So japokuwa mwanamke anauwezo wakuwinda bado mwanaume is expected to provide.

So tukija kwenye hii ishu, well its patriarchy yes but sema a more materialistic one than survival. Cause mwanamke wa saivi hahitaji mwanaume kula.

Ila patriarchy makes sex a bait. A disadvantage for men, an advantage for women. Mwanaume was saivi atamuomba number mwanamke. Interpretation yake ni kuwa unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi au to simply have sex.

Either way, you need to try to convince her enough to get in her pants or start a relationship with her. And how are you going to convince her?

So, what so shocking when a woman gives you extra attention when you give her something materialistic?

Ingekuwa sex inachukuliwa kama need ya mwanaume na mwanamke equally wanaume wasingepata shida. Ila ndio hivyo sio kila kitu mwanaume atakuwa equal na mwanamke-kuna biological and evolutionary reasons.

So mwanaume ukishobokewa after giving anything materialistic to a woman ni kawaida. Sema kwasababu tu ya life standards za saivi kuwa wanawake tunawinda pia basi inaonekana kama unyonyaji.

By the way it's hard a woman akushobokee out of nowhere cause you just have her number and want to chitchat, just ask her on a date and see if she's interested or not. Chivalry my Tanzanian men,Chivalry.

Ushauri wangu, choose what you can handle leave what you can't handle. That's the beauty of this world, a lot of options. But sadly we rarely end up with what we want.

nimependa mchango wako mkuu..lakini sikuoni sana siku hizi humu jukwaani...nimeona Reactions score yako ni more than 20,000...kwa messages za 4,000 duhhhhhhhhhhhhhh Bonge la Great Thinker La JF..kwenye profile yako iko juuuuuuuu..mkuu come more often tujifunze
 
Na utakuta, kama mahusiano yakifa. Mwanamke huyo huyo analalamika kuwa amekupa kila kitu... !

Unajiuliza, kila kitu ni kipi?
 
Yeah.
True love ni kumpenda someone unconditional. True love doesn't make any conditions like I will love you kama utanipa hela au kama hautaniomba hela ,or I love you because you are so beautiful or you are good I bed and what not.

And yes it definitely does exist NOW and forever but it's not in a way that most people expect. Some of y'all need a lesson on maturity coz mnadhani kwa sababu mtu amekuomba hela basi mnafuta kabisa kwamba mapenzi ya kweli hayapo, au hamna mapenzi. Mtu kukuomba hela anaweza kukuomba kwa sababu a nakupenda na she's/he's comfortable to share her /his problems with you. Y'all should be proud of that.

Mapenzi ya kweli yapo lakini hautoyapata kwa kila mtu, is so rare these days but can't hide the fact that it does exist. Mtu umefosi kumpenda mtu ambaye sio your soulmate amekutenda then unafunga kurasa kwa kuconclude kwamba mapenzi ya kweli hayapo ...hell no yapo sana na tunayafurahia.

"why should i be the one who tries to get your attention and not vice verse? "
Hii ni kawaida, But if we want to let a man know that we are interested in him kuna vitu huwa tunafanya na nyie mnajiongeza kama nyie mnavyodhani kwamba mkitupa hela ndiyo tutaamini mnatupenda.
Umenena vema, ila katika aya yako ya kwanza nitatofautiana na wewe kidogo.

Ili upende, lazima kuwe na sababu inayokuvutia au kukusababisha upende.

Lazima uvutiwe,ndio upende.
 
Na hii imekaaje mwanaume ukishamsaidia mpenzi wako hela...mkikosana kidogo unamdai tena kwa fujo...
Hii imetokea leo kwa rafiki yangu yani nimejisikia vibaya sana

Samahani kwa kutoka nje ya mada
Unaweza kukuta jamaa alitoa kwa upendo kabisa, ila badae akaja kujua mwanamke anamuigizia...anamchora yan, ile inaumaga inachoma kama Pasi. Akaona usiwe shida hela yake irudi
 
Alright i get your general concept of what you call true love, it is all about unconditional companionship solely built off affection from both sides..right?Now lets to push this idea into reality and see if it really works;

Does the current generation follow that cliche? kweli kabisa kizazi hiki kuna watu wanaingia kwenye mahusiano wakiongoza na affection? na hasa wanawake!!?

Allow me to tilt my argument towards women side as my first comment entails!

How many ladies you know who can jump into relationship with a guy whom they fully know that they are better than him financially?

How many of you ladies are ready to make a sacrifice of your livelihood for helping a guy to live up to his potential like Michelle did to Obama?

How many of you ladies willingly get into relationship without expecting anything bigger in return from the guy?

With regarding to your definition of true love i dare say true love doesn’t exist, kwanini? Kuombwa hela siku hizi imekuwa kama prerequisite ya mahusiano! ukitoa hela ndio unapewa attentions na sifa kede kede na usipotoa unapuuzwa na kutolewa maneno ya kejeri kama mvulana,dume suluali n.k.

Hauwezi ukanishirikisha mimi kwenye matatizo yako halafu baada ya kuona sina uwezo wa kukusaidia ukanipuuza kisha baadae useme eti unanipenda, hicho kitu hakipo.

Mapenzi ya kweli hayapo these days it only exists in utopia. The only true love remains in between people of opposite genders is that of mother and son or daddy and daughter.

Hahaha.. Cute B bwana, sasa kwanini mpaka muoneshe viashara ishara hili sisi ndio tujiongeze, kwanini hata nyie msitufuate na kutupiga vesi kama sisi tunavyofanya? hahahaha.
Tatizo kubwa mnaamini pesa ndo kivutio
And it works like charm for cheap b.itches

Mwanamke mwenye pesa zake
Pesa si tatizo kwake
Find those women then u can test issue ya mapenzi

And issue ya Michelle kumkubalia Obama.,bruuh they werent average..enzi hizo Obama was still a catch..Michelle alikua mwanamke mwenye pesa zake za kutosha tu(they met wkt Mich was working at a law firm)
She had a job+gari miaka hioo a black woman

Obama hakuwa hohehahe pia.alikua na kitu,he was working and schooling pia...and Michelle having hela zake she simply loved Obama for mapenzi and potential-refer the Harvard thingy and ur black enzi hizo

Ts like watu wanaofanya kazi law firm kwa mfano utasema ni watu hohehahe?..Nope ni watu na pesa zao
Read biography za Obama na Mich utaona they were well off middle class tangu siku nyng sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom