Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani
hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!
Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!! Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
