mapenzi ya mtoto

The Infamous

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Posts
731
Reaction score
122
'upendo wa mtoto kwa mzazi unategemea malezi ya mzazi kwa mtoto, usitarajie mapenzi ya mtoto wakati kwenye malezi yake hukuhusika' tafakari mzazi
 
Point ya ukweli tafakuri......!
 
nimeipenda,wazazi wengine wanategemea watoto wao wawapende automaticaly hata kama wao hawakuonesha mapenzi kwa watoto wao.Au wale wazazi wanaopenda watoto wao wenye uwezo tu wale wasio nacho ndo hivyo hata kuwatembelea ni issue.
 
kumbuka ubaya haulipwi kwa ubaya.ukiwa na nafasi ya kumpenda mzazi mpende tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…