The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
'upendo wa mtoto kwa mzazi unategemea malezi ya mzazi kwa mtoto, usitarajie mapenzi ya mtoto wakati kwenye malezi yake hukuhusika' tafakari mzazi

Pagumu apo, children learn what they live withkumbuka ubaya haulipwi kwa ubaya.ukiwa na nafasi ya kumpenda mzazi mpende tu.