Mapenzi Ya Kweli

mtu ni mnyama
mtu ni utu
so wanyama na watu =1.
nawasilisha

Mtu ni mnyama, haina ubishi, na umoja wa watu na wanyama uko hapo tu na si vinginevyo. Na ndio hapo dhana ya mtu ni utu inakuja, kwa maana ya binadamu ni mnyama mwenye akili kuliko wanyama wengi........ mwanadamu ana-control wanyama wengine.
 
mtu ni mnyama, haina ubishi, na umoja wa watu na wanyama uko hapo tu na si vinginevyo. Na ndio hapo dhana ya mtu ni utu inakuja, kwa maana ya binadamu ni mnyama mwenye akili kuliko wanyama wengi........ Mwanadamu ana-control wanyama wengine.


asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…