Kuna ile mtu anaweza akakwambia ni bodaboda ila ukiongea nae kuna kitu cha ziada unakiona ndani yake.Ilikua njiani tunatoka kula, halafu yule kaka yupo simple mnoooo. Hata akitokea sasa hivi akikuambia yeye ni konda utaamini.
Kama wewe hauamini kama bado watu wenye mapenzi ya dhati hawaangalii hela ni wewe, ila binafsi naamini kuna watu wengine fedha ni kitu cha ziada...halafu sio research huo ni mfano tu kuonyesha kua hao watu bado wapo.Iyo research yako imefell pakubwa pole sana
🙄🙄🙄 sawa ringson thou najua fika kwa status ya jamaa ya kuwa bodaboda tena rafiki zake wamesikia kila kitu kuwa ni bodaboda afu ndio mjikute chuoni ndio mlikuwa ma super divas wenyewe ungemchomolea nje na hapo ndio ungekuwa unapiga fuko la hela njee hahah uwongo kweli?unaniuliza swali gumu, kuna vitu ningetaka kujua kutoka kwake kama angekidhi vigezo ninavyovihitaji ningekubali kama asingekidhi ningekataa.
huwa nikisoma humu comments mbali mbali naona wanaume wengi hawaamini kama bado kuna wanawake ambao fedha kwao sio kipaumbele.
According to you ni one in a billionsKama wewe hauamini kama bado watu wenye mapenzi ya dhati hawaangalii hela ni wewe, ila binafsi naamini kuna watu wengine fedha ni kitu cha ziada...halafu sio research huo ni mfano tu kuonyesha kua hao watu bado wapo.
Narudia tena haijalishi kazi anayofanya ningeangalia vigezo vyangu ambavyo navihitaji kama amekidhi basi haina shida🙄🙄🙄 sawa ringson thou najua fika kwa status ya jamaa ya kuwa bodaboda tena rafiki zake wamesikia kila kitu kuwa ni bodaboda afu ndio mjikute chuoni ndio mlikuwa ma super divas wenyewe ungemchomolea nje na hapo ndio ungekuwa unapiga fuko la hela njee hahah uwongo kweli?
sawa mkuu nimekuelewa vyemaNarudia tena haijalishi kazi anayofanya ningeangalia vigezo vyangu ambavyo navihitaji kama amekidhi basi haina shida
Yaani nimeshangaa hata kwenye huu uzi mtu haamini kabisa, nimebaki najiuliza so hata hao walio kwenye mahusiano nao hawana imani nao?Wanaune wengi wamepoteza sifa za kuwa WANAUME hivyo wanahamishia lawama kwa wanawake. Kwahiyo usishangae hizo comments ndio hao hao.
Huwa nikisoma comments za wanaume walio wengi humu naishia kuwahurumia wake zao na wapenzi wao, wengi ni mafurushi kweli kweli.Yaani nimeshangaa hata kwenye huu uzi mtu haamini kabisa, nimebaki najiuliza so hata hao walio kwenye mahusiano nao hawana imani nao?
Nadhani hakuna sehemu wanawake wanasemwa kama jamii forumHuwa nikisoma comments za wanaume walio wengi humu naishia kuwahurumia wake zao na wapenzi wao, wengi ni mafurushi kweli kweli.
Mapenzi ya kweli yapo sana tu, wanajifanya wanawake wanapenda pesa utadhani hizo pesa wanazo, wanakuza mambo humu utadhani sijui wanaishi dunia gani.
Tena mie naona angalau wanawake wangeongea ila sio wanaume,maana yanayotokea kwenye jamii tunayashuhudia.
Mh!? Sasa espy bila pesa za kutosha utakubali ndoa?Wanaune wengi wamepoteza sifa za kuwa WANAUME hivyo wanahamishia lawama kwa wanawake. Kwahiyo usishangae hizo comments ndio hao hao.
Mie huwa nawasoma naishia kuwadharau tu, usiwatilie maanani malezi nayo yanachangia. Ukijumlisha na hali ngumu ya maisha stress zao unadhani watatolea wapi!!!Nadhani hakuna sehemu wanawake wanasemwa kama jamii forum
Wazitoe wapi si ndiyo hawa wakiombwa hata 50 wanakuja kufungua thread.
wakati huku mtaani tunaona kabisa kwa asilimia kubwa wanawake ndiyo waleaji wakubwa wa familia utafikiri familia hazina baba.
Kama mimi sina imani na nafsi yangu mwenyew nikuamini wewe kama nani,. ??Yaani nimeshangaa hata kwenye huu uzi mtu haamini kabisa, nimebaki najiuliza so hata hao walio kwenye mahusiano nao hawana imani nao?
Ndiyo alikua anakuja nayo usiku hostel akija kumuona