Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

Hujadhamiria wewe vitu vidogo tu vinakutisha.watu wanashinda chumba cha mkaa wanaibukia usiku kwani hujui vita ni mbinu?

baba akikumbuka mavyuma vyuma yake kule store akaja kugongea gate lililoachia itakuaje?
 

Kiongozi hujanielewa demu anaeishi kwa wazazi hawezi kufanya hivyo kama anajiheshimu ila kama anajitegemea hilo halina pingamizi ila sorry mkuu kama nimekukwaza
 
Kiongozi hujanielewa demu anaeishi kwa wazazi hawezi kufanya hivyo kama anajiheshimu ila kama anajitegemea hilo halina pingamizi ila sorry mkuu kama nimekukwaza

Me nimekuelewa sana tu kaka, hata umpende vipi mwanaume kama unakaa kwenu n unastaha n kutambua nn maana ya wazazi huez kwenda kumridhisha mpenzi huku unaacha msala kwenu asee hayo c mapenz n ushenz,,, n mwanaume anaekuchekea uharbikiwe hakutakii mema kabsaaaa
 

My dear mama la mama nilikua namjibu jamaa alieniambia nimekariri,kwa demu unaempenda hutataka awakosee wazazi wake heshi ma kwa kulala nje ya nyumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…