nitakupata wapi habari ya hapa maana ID za humu kibao ni feki, ni pm basi.
kwa kweli hata yangu ni feki ila jinsia ni ya kweli, dume.
ndiyo ila kwa mwanamke mpya tu.
Ukiona hivyo ujue huyu demu wako kicheche hata wazazi hawana time naeHahahahaaaaaaaa pole sana wengne tunalala nao hata wiki mbili then anaenda kwao,so hiyo dhana yako napingana nayo 100%
Usikariri mwanamke akiamua kufanya kitu kwa ajiri yako hawezi shindwa ili mradi awe na mapenzi ya kweli,nan alikuambia vicheche wanakaa kwa mwanaume mmoja muda mrefu na huo ukicheche aufanye muda gani? tena wanawake vicheche ndo hujifanya kama wako bize sana wakitoa sababu kibao,mwanamke akikupenda hana sababu ya kukukatalia loloteUkiona hivyo ujue huyu demu wako kicheche hata wazazi hawana time nae