Mapenzi ya Kitapeli

Mapenzi ya Kitapeli

.....nipo bana, siku hizi wakongwe mmepotea,
nikibahatisha kukuta monazite thresd ndio naikodolea mimacho kukoje.



...mnh, pole zake.

Majukumu ma uzee tena ila tupo sante sana
 
Habarini

Nimeona niwashirikishe hili jambo ambalo limemkuta Mama wa Rafiki yangu.Ni story ndefu na imechukua process ya karibu mwaka mzima but nitaifupisha kama hivi.Mama wa Rafiki ni mstaafu wa JWTZ mumewe alishafariki kitambo.Baada ya kustaafu akalipwa mafao na akiwa na Nyumba yake nzuri tu Morogoro Town. Vijana wa maloveee wakamlia mingo Mama. Mama kaingia line anapenda serengeti boy.Serengeti mazima kama kweli mpaka kamtambulisha kwa wanae wote wapo wanne na wote wako vizuri wanamaisha yao safi hawajagusa hata mia ya Mama.

Serengeti alifaidi Mafao mpaka yakaisha wakahamia Morogoro kwenye nyumba toa mpangaji wakaishi kama mume na mke karibu mwaka hivi.Serengeti boy akamwambia madam tufanye Biashara tutakaa hivi mpaka lini? Mama kasema biashara ya konokono kupeleka China kweli inalipa sana.Safari Morogoro to Bagamoyo kuona mzigo wale wenzie serengeti boy ndo wakajifanya wauzaji na hawajuani. Mama kaingia line twende bank kukopa kwenda bank wakaambiwa mpaka uwe na biashara ya kuonyesha ndio upate mkopo.

Kurudi home dogo kasemaje tuuze Nyumba tukiuza mzigo mara moja tu tunanunua nyingine.Nyumba madalali na mnunuzi tayari wako ready si unajua ni deal limesukwa M40 bank. Nyumba ikauzwa kijana kasema inatakiwa tununu mzigo kwa M20 mambo mengine yafate mama katoa cash mtu wa bank kamwambia mama mbona pesa imeingia tu juzi leo unatoa kiasi kikubwa hivi mama kawa mkali kama mbogo wakampa chake.

Morogoro to Bagamoyo kuchukua mzigo viroba vitano hadi home. Kesho kijana sasa mama kinatakiwa kibali na watu wa clearing and forwarding 5M ikatoka.Baada ya hapo kijana haonekani wala simu zote hapatikani mama anawaza imekuwaje defender ndani ya nyumba mama una nyara za serikali huna kibali kifungo ama toa 15M mama kwa woga kasema nina 10M ikaondoka.Anashituka kalizwa mafao na nyumba kauzi kaachiwa gari tu wameiona sijui imechoka.Mama yuko kwa rafiki yangu BP kila siku. Wizi huu umeingia sana siku hizi tuwe makini na wapenzi wapya jamani.

DA

Oh My God.

Nimesoma mpaka nimeogopa.

Kosa la nani hapo?
 
Yaani mimi je acha tu imeniuma halafu ukimwona na anavyoumwa sasa sijui kama atadumu maana anakaa anasema nimetapeliwa M40??? Huruma hadi basi
Wanawake kama hao wala usiwaonee hurumawatu kama hao maana sidhani kama hakuonywa, watu kama hao wanajifanya wanajua kuliko wengine na wabishi,utapeli wa aina hiyo haukuanza leo na tutaishi nao milele,tunatakiwa biniadamu tukubali umri unaenda, kuna wakati utakua mtu mzima na usiung'ang'anie ujana, itabidi uishi kama mtu mzima.
 
Daahhhh namuonea huruma sana huyo mama,huyo kjana angekuw basi gentleman wa akili yake,nazan malipo ni hapahapa dunian.
Siwez kumlaum sana huyo mama,unapo kuwa kwnye mapnz unashndw kutofautsha kati ya baya na zuri,tunao mpondea huyu mama tujiangalie kwa makin,hata ss tumekosea kwnye mapnz yetu either direct or indirect.
 
Inasikitisha.
ila huyo kijana alikuwa anampa nini tu huyo mama
mpaka akapumbazika hivyo?
 
rafiki yangu alikuwa na mwanaume alikuwa anamshaur achukue mkopo rafiki yangu akachukua form kabisa bank nkamkalisha chini nkamwambia mwanaume mmezaa tu hamjaoana umchukulie mkopo? kwenu hawamjui tafakar kwa miez sita. bahati nzur mwanaume naye kapata ajira nzur nkamwambia yeye achukue mkopo si ameajiriw a kwani anakubali.
kumbe alitataka amuachie watoto na mkopo juu. alivyoona mwanamke hachukui mkopo cku zinaenda tu akamuavha dada kasepa zake . yule dada ananishukuru daily kama nlimuepusha kifo
 
Kiherehere chake.

Huyo wala si wa kumhurumia.

Wakiambiwa zinaa ni uchafu na njia mbaya wanajifanya hawaelewi.
 
Mpita njia mpita njiaa!! Asante yake mateke kwako hatakaa milele...... pole zakeee
 
hii story inanikumbusha mkasa moja ulihapen last weekend

kuna kajamaa kamekuja mjini juzi hapa sasa mpaka sasa hakuna ajuae either aliletwa na huyo jimama au alikuja jimama kamteka juu kwa juu
sasa wanakujaga bar moja hivi mara kwa mara watu wanaogopa kumuambia kitu huyo kaka kwamba mama kaungua na mumewe kafariki
maana kijana anaringa yaani haongei na mtu akija bar hapo ana dharau anaita waudumu kidharau watu wanamuangalia tu hajui lolote
HUYO MAMA nae anamtapeli dogo maana dogo anaonekana ni mshamba sana na hajui lolote huyo ni wa juzi tu maana unaambiwa anakaaga navyo hivyo vitoto baada ya muda ana kingine sasa inaezekana ataki viwe karibu na watu

SUGAR MAMY NI JANGA KWA SASA japo namuonea huruma ila yawezekana pia na yeye kamliza jamaa in one way or another
 
Back
Top Bottom