Mapenzi ya Kitapeli

Mapenzi ya Kitapeli

Nabadooo na iwe fundisho na kwa wengine wenye tabia kama hiyo.

Inaumiza but kuna funzo hapo,mjini kila mtu na akili yake we unasaka noti mwenzio anapanga kuzitumia,
 

Attachments

  • 1421674161043.jpg
    1421674161043.jpg
    55.9 KB · Views: 274
Najua basi.. kanisa liko Tabata kuna siku nilienda

nikamuone huyo uncle weee nilicheka sana aiseeeeee

Huku ninakokaa, kulikuwa na mkaka mmoja mchakarikaji alikuwa anapika chips; hivi karibuni kabadilisha banda la chips kuwa kanisa. Nafikiri akifanya miracle chache atanunua kiwanja cha kujenga kanisa kama la Kakobe.

Wee cheka tu, mwenzio anakamata shekeli
 
Pole yake huyo mama

Angalau angeshirikisha wanae wangemshauri

Viserengeti boys ndio zao hizo kulia mingo wanawake wajane

Pole sana dah
 
Hapo simpi pole...namuambia akome,hakuna baya lisilokuja na dalili...
 
Yaani mimi je acha tu imeniuma halafu ukimwona na anavyoumwa sasa sijui kama atadumu maana anakaa anasema nimetapeliwa M40??? Huruma hadi basi

Wanawake ni viumbe wa kulia lia tuuu, wagonjwa wa kupenda tuuu, kila cku wao ni maumivu tuuu, lakn bado wanapepea hewani kama ni ndege wajanja! Ukiwashauri wanasema shauri lako bongo? Wana haki zao chungu mzima mpaka zimekuwa mzigo, zinawatia ujinga...wahanga wa dunia! SINA HURUMA HATA CHEMBE KWA HUYO MAMA...na wala siwapongezi hao serenget byz....LIWE SOMO KWA WADADA NA WAMAMA WENGNE....mnaojifanya ninyi ni much know. ILI MUWE SALAMA KATKA HII DUNIA, IWENI WAAMINIFU KUISHI IMPENDEZAVYO MUNGU. Kweny bahati mbaya tutakuhurumia na kukusaidia...na Mungu atakuwa upande wako. IVVO TU.
 
Tamaa mbaya sana. Na umri ukishapita vingine unaachana navyo tu, ukijifanya na wewe bado kijana haya ndiyo yanakukuta. Mambo yote hayo hata kushtuka dah!! kweli wajinga ndiyo waliwao.
 
Inatia huruma aise ila kwa upande mwingine ni funzo wa wamama wenye tabia kama za huyo mstaafu
 
Huyo mama sio wa JWTZ ninayo ijua mimi.

Tena na cheo chake kikuubwa tu acha kabisa ukimuona ukaambiwa ndio huyu utabisha mpaka kesho yaani dhe is very smart na adabu ya hali ya juu dah mapenzi nimepiga salut
 
Back
Top Bottom