Mmmhh! hapana.
![]()
![]()
na yeye (wife wako) anakufanyia kama unavyomfanyia?...wala sio limbwata,wa limbwata wanakuwaga kama taahira,ila hapa ni vitu exceptional kwa wabongo wenzangu lazima tukimbilie lusema limbwata...my wife deserve my love and i promised to love her dearly...
...kaka, ananipenda sana mpaka wabongo mtaani wanachonga,eti wanajifanya wazungu(kwakuwa tunapenda privacy na mkewangu hakai kwenye vikao vyao vya umbea ),mara wanajifanya wamesoma sana (wakati elimu yetu ya chuo kama wengine mtaani),mara wanajifanya wanahela,kisa umenunua mkate supermarket......ukisikiliza wabongo !! daah ! hata kumsaidia wife utaona noma...na yeye (wife wako) anakufanyia kama unavyomfanyia?