Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.
umeona eeh, alafu akilizwa utasikia this world is not fair, ooohh love kills, na mengine mengi......me kusema ukweli wananikera kwa swaga zaoWanamna hiyo hawachelewi kulia!
Sijaelewa... Somebody help plizzzzzzzz!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.
Sipo Facebook .too much dramaLabda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.
ngoja na mm nikuwall kiJF kuonyesha nakujari babyLabda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.
Sipo Facebook .too much drama
Baadhi ya wadada wa
facebook wanachoniudhi, wanaweka picha za warembo wengine, unamtongoza
unamtumia tiketi ya ndege aje,ukienda airport kumpokea unakuta hafanani
kabisa na wa kwenye zile picha zake.
Hata mimi kiukweli-kweli sipo.
Nipo tu kama NN na wakati mwingine huwa siingii kwa miezi hata mitatu na zaidi.
I'm just too private a person to put my personal business and pics in there.
Baadhi ya wadada wa facebook wanachoniudhi, wanaweka picha za warembo wengine, unamtongoza unamtumia tiketi ya ndege aje,ukienda airport kumpokea unakuta hafanani kabisa na wa kwenye zile picha zake.
Sipo Facebook .too much drama
face book nliacha longtime..kisa cha kutongozwa na 90's n'nini..
woi
You dont have to put your pictured in there! And you dont have to put personal info in there.