Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Hii tabia imekithiri ktk maeneo mengi. Hebu fikiria dereva wa bodaboda na abiria(m/ke), watengeneza na kuremba kucha za akina dada, sio aibu tun bali ni kinyaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sometimes sijui huingiwa na mapepo, coz wanasahau km Mungu ndo kawapa nafasi hyo,tabia hyo ni sawa na kummalizia mgonjwa kwa kumpa doze ya ugonjwa mwingne.
 
Kama anaimbisha tu mpaka aeleweke na si kubaka, na mgonjwa kukubali au kukataa kwake hakutaathiri huduma atayopata hapo hospitali,sioni shida.
Kuna mabint wanakuwa turned on na makoti meupe yale!!!!

kwakweli hata mi huwa nalegea kwenye makoti meupe na stethoscope
 
Dr. S....ja kule mbeya alikuwa anatibu wanawake na hakuwa na tabia hiyo.

Hata dr k....sya hakuwa hivyo.

Sema tu ni hawa wa sasa japo sikuwahi kutokewa na hiyo.
 
Wameamua kuweka professional ethics zao pembeni. Daktari kama huyu akigunduliwa basi ni kumfuta kazi na kuhakikisha hapati ajira kama Dr popote pale nchini hata kufungua zahanati yake asiruhusiwe.
Hivi mnajua wagonjwa wengi wa kike ndo huwa wanatongoza na kujilengesha kwa madaktari..?
 
Haihusu kitu, ni lazima Dr aheshimu professional ethics za taaluma yake. Wagonjwa wake acheze nao mbali kabisa. Kuna wanawake chungu nzima ambao si wagonjwa wake hao ajirushe nao kadri atakavyo.

Hivi mnajua wagonjwa wengi wa kike ndo huwa wanatongoza na kujilengesha kwa madaktari..?
 
Wameamua kuweka professional ethics zao pembeni. Daktari kama huyu akigunduliwa basi ni kumfuta kazi na kuhakikisha hapati ajira kama Dr popote pale nchini hata kufungua zahanati yake asiruhusiwe.

Nchi ipi unayozungumzia?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…