Mapenzi ya daktari na mgonjwa


Du, fiduciary relationship imefikia huko. Tafadhali madokta!


Sent from my iPad using JamiiForums
 


Wanapima oil tu.
 
Hawa jamaa wana mshahara mdogo sana kulingana na kazi na muda wa shule waliotumia, labda ndo maana wanajipa marupurupu mengine kwa styles tofauti. Teh teh
 
Hawa jamaa wana mshahara mdogo sana kulingana na kazi na muda wa shule waliotumia, labda ndo maana wanajipa marupurupu mengine kwa styles tofauti. Teh teh
Ingekuwa vipi kila mtumishi ajipe marupurupu haya sehemu yake ya kazi?
 

(OFF THE TOPIC)Kwa hiyo Dr. baada ya stress ya kusumbuliwa na mke wa mtu, ukaamua kwenda kumpiga kuku kilaji (your profile picture). Mpigania haki za wanyama.
 

Mwisho wa siku watu wazima hawachungiki, hata uweke sheria gani kama mijitu mizima inataka kurukiana, kwa njia moja au nyingine itaishia kurukiana tu.
 
Into whatever houses I enter, I will go into them for the benefit of the sick, and will abstain from every voluntary act of mischief and corruption; and, further, from the seduction of females or males, of freemen and slaves.
Quoted part of original Hippocratic Oath
 
Kama anaimbisha tu mpaka aeleweke na si kubaka, na mgonjwa kukubali au kukataa kwake hakutaathiri huduma atayopata hapo hospitali,sioni shida.
Kuna mabint wanakuwa turned on na makoti meupe yale!!!!

hapo sasa besti!!!!!!!!!!!
 
Watanyang'anywa vyeti wangapi asilimia 60 wapo hivyo sijui kwa nini au mazingira ya vitanda kwenye ofisi zao na kwa magyno ile kuvu vua nguo kunawapa ushawishi.

huu utafiti wako umekaa kiupotoshaji..........

mgonjwa akivua nguo hata haihamasishi.........
 

ha ha ha ha ha!!!!!!

ni shidaaaaaa.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…