Mapenzi ya daktari na mgonjwa

Relatives au marafiki wa wagonjwa nao ni shidaaaaaaaa
 

Ha ha ha ha ha

Kweli huo in mtihani. ..
 
Kwa uzoefu Wangu wa miaka miwili kazini nimegundua wagonjwa ndio wanaowashobokea madaktari.Mgonjwa akishatibiwa utaskia "Nikupe zawadi gani?" ukimwambia hutaki zawadi yoyote yeye anakomaa na kuanza mitego ya ajabuajabu.Nashkuru nimeoa kifaa siwezi kusaliti.
 

Well said Chakii
 
mkuu katika maadili ya daktari hapa tanzania naweza kusema hakuna sehemu inayomkataza daktari kuwa na mahusiano na mgonjwa wake,kumkataza ni kumuonea tu kwani hiyo ndiyo sample yake anayoweza kuopoa mke au mume kama ilivyo kwa mgonjwa,kama ilivyo kwa mwalimu na mwanafunzi,wanasiasa,mabosi na wahudumu n.k

kuhusu kubaka au hata kubakwa hilo ni kosa kisheria na hatua sitahiki ni lazima zifuatwe,ndio maana wakati wa uchunguzi(physical examination) madaktari wanashauriwa kuwa na matron au patron atakayeshuhudia uchunguzi unavyoendelea.

hebu tuangalie kipengele cha kwanza kabisa cha maadili ya madaktari

kwa hisani ya MAT ethics booklet
 
Makoti meupe ni sumu, hadi kitaa wanaogopa kujitambulisha kama wao ni madaktari
 
Wamama someni hizi nyuzi humu. Hakuna Profesional yeyote mwenye akili timamu atatumia nafasi yake kumlamba mwanamke asiye wake.
Mwanamke mwingine akifika akikuta Dr. ni mwanamke mwenzake anahamia msatari wenye mwanamume. Wanasema ati madaktari wa kike ni wabaya sana, hawawasikilizi. Hao wamepotoka tangu kale ni madalali wa ngono hao. Wanamdenda mume wa mtu ka kupe hao. Mara Dr naumwa hukuuuu na sijui mume wangu ana mpini mkuubwa angalia ninavyo umizwa hukuuuu, na upuuzi usio neneka.
Kuangushwa ofisini ni mapenzi yako mwenyewe si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…