Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,013
- 13,272
Hatari😅Mimi shule msingi nilimwandikia mtoto wa mwalimu ,Sijui alidondosha ,aliyeipata akaenda kuibandika kwenye kengele ya shule ,mwalimu wa zamu akaiona ee bhana akaisoma mbele ya wanafunzi na viboko juu.
Halafu barua yenyewe inaongea hadi kumwoa nilivyo mpuuzi.