Nimeyamiss mapenzi ya Ujana wangu

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,426
Habari.

Siku naanza balehe nadhani hiki ndo kipindi ambacho binadamu anayaona na kuyaenjoi mapenzi kuliko kipindi chochote kile duniani.

Ila kwa umri tulionao hakuna binadamu aliyepita umri wa kubalehe na akayaona mapenzi matamu sana kama enzi nzetu zile.

Leo hii tunafanya mapenzi kujiridhisha na kupeleka siku mbele ila mapenzi ya kubalehe yalikuwa yako real sana.
 
Enzi hizo niliinjoy kidogo na maumivu pia

Kiskonga nilikuwa natoka na demu wangu mkaaali anakuja kitaa ila ndio ivo geto sina, kila nikiwaomba mabrother flani hivi pale kitaa wanipe access ya geto nami nikachinje wananibania, basi nikawa naishia kwenda tu nazurura nao bila kumaliza kazi, wanasepa.

Kumbe wale mabrother walikuwa masnitch, wakawa wananizunguka wanashawishi wale mademu na hivi wana geto basi wakawa wanavusha wanachapa, mi nikashangaa natoswa ghafla, mara demu kawa mkali hataki salamu wala mazoea

Basi nikawa nafata mwingine napambana wee mpaka anaingia line, siku nikimpanga tu aje mtaa wale mabrother wakawa wananinyima geto halafu wananizunguka, haipiti wiki wananizunguka ghafla huku nako natoswa sometimes kwa maneno ya shombo na kebehi. Iliniuma na nilijiona sina bahati

Nilikuja kushtuka sijui dem wa nne na hiyo yenyewe alinitonya bro mmoja asiye na tamaa baada ya kunionea huruma kuwa dogo unazungukwa ndio maana ukileta tu pisi kitaa baada ya muda unatoswa

Tangu siku nilikata mazoea na wale wase*ge na niliwachana, watu wanasema usiwamind wana kisa mademu

Hapana, Wale washenzi hawakujali hisia zangu na hivi nilikuwa bado ujana mwingi nilikuwa napenda mazima hivyo kule kutoswa kuliniumiza sana

Sa hivi nimekuwa nimeshajipata, japo hata tukikutana(nipo mbali nao) stori hazipandi sababu ya kujishtukia na sijataka kulipiza maana ningewachapia wake zao wale wadwanzi,
 
Mapenzi ya sasa ndiyo yako real. Kipindi cha kubalehe unakuwa bado naive sana, bado mwembamba kifikra, na ndiyo hormones zinakuwa katika hatua ya mwanzo ya kudevelop. imagine what a teenager can do?!

Nadhani upo stuck kwenye experience hiyo labda kwa sababu ulifall in love kwa mara ya kwanza, lakini hakuna reality yoyote bado mnakuwa ni watoto wanaoingia ujana, nothing fancy

Lakini mapenzi ya utu uzima ndiyo mapenzi kwa sababu yana mitihani migumu, na kumpenda mtu inamaanisha kuweka kila kitu chako kikaangoni kwa ajili ya mtu mmoja. You got everything to lose if you don't play your cards right.

Lakini teenage love uzuri wake ni kwamba hizo
zilikuwa ni nyakati simple, una muda mwingi wa kumess around lakini utu uzimani, ni mchezo mmoja kama chess hivi unatkiwa kuucheza, kutuliza akili ili ushinde mitihani.

Real love is War.
 
Back
Top Bottom