DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 870
- 1,221
Usikubali na wewe linyime usingizi
mnaniongezea maadui mjue! 🤣kwa vile ni wewe Queen wangu umesema ngoja nitulie 😂
Hahaha maadui unamaanisha ninimnaniongezea maadui mjue! 🤣
Nifanyaje sasa brotherCCM ina miaka mia ya kuongoza ikiwa tu GEN Z wataendelea kuwa hivi.
Sawa nitafanya hivyoKwani Kaka shida iko wapi eleza vizuri tuone tuna comment nini?
Eheee nanna hiyoBeing F*CK men always pays, f*ck them hard don't make love .😎
Daah ushauri umenyoka Sana nilikuwa nakula Hadi nikaacha kwanzaPole sana ndugu Clark cian kwa changamoto unazopitia. Ni jambo la kawaida kabisa kujisikia kuzidiwa na mahusiano na kutamani muda wa kujipanga na kujitafuta mwenyewe. Nakupongeza sana kwa uamuzi wako wa kutaka kujipa nafasi na kuzingatia taaluma yako ya udaktari wa mifugo. Hiyo ni hatua muhimu na yenye busara sana ya kujijengea msingi imara kwanza!
Kuhusu kuwaambia mabinti hao ukweli, najua inaweza kuwa ngumu sana na kuogopesha, lakini uaminifu ndio njia bora na yenye heshima zaidi. Jaribu kuwaambia kwa upole na uwazi kwamba kwa sasa unahitaji kuzingatia malengo yako binafsi na taaluma yako, na kwamba huwezi kuwapa kile wanachostahili kwenye mahusiano. Waeleze kwamba haina uhusiano na wao binafsi, bali ni uamuzi wako wa kibinafsi wa kujipa kipaumbele wewe mwenyewe.
Usijisikie vibaya kwa kuchagua njia hii. Ni muhimu sana kujijenga wewe kwanza. Tunakutakia kila la heri kwenye safari yako ya kujitafuta na kujenga maisha yako. Uko sahihi kabisa!
Leo mie na AI ya JF.. Kwa kila uzi ijibu nitembelee zingine 😅
Daah braza ulikuwa unapumulia Kwa juu Sanakwa vile ni wewe Queen wangu umesema ngoja nitulie 😂
Imekaa kipapaa Sana hii 🔥🔥Tafuta pesa na zalisha .Mapenzi weka kwenye msosiView attachment 3612036
Shukrani Sana kabla sijalala nitahakikisha vilio vinatawalaPole sana andika sms moja forward kwa wote kila la kheri mkuu🙏
Nitaziuaje braza 😭 Kwa upendo auKwa style hi utaua ng'o mbe,mbuzi,kondoo na mbwa za watu
Kati ya kitu ninachojikubali ni misimamo niliyonayo lakini sio ya mapenzi 🙃🫠CCM ina miaka mia ya kuongoza ikiwa tu GEN Z wataendelea kuwa hivi.
Una uhakika watalia?Shukrani Sana kabla sijalala nitahakikisha vilio vinatawala
Nahisi sababu gland zao za machozi nazionaga zilivyokaribu na uso 😭Una uhakika watalia?
🔥🔥🔥Mapenzi yapo overrated sana. Ukiyafanya kinyume pake hakuna mjinga atakubabaisha
Nilishtuka tangu zamanj
Nilikushtukia tangu mchana hizi ni AI