Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Huyu mwanamke ndo yule mbunge kutoka viti maalum?,ambaye mwenyekiti aliomba asafiri nae Dubai?..
hao nyuma ni watoto wao
Thubutu,watoto wake washiriki maandamano?,wanaoshiriki hayo makitu ni mbugirambugira pekee...Huyo wa kiume mkubwa mbona simuonangi kwenye maandamano? Au maandamano ni kwa wavaa magunia tu?
Pambafu zenu, maisha binafsi! Mbona picha za mama zenu tukichepuka nao hatujaziweka!
huyo binti anatazama kwa hisia namna wazazi wanavyong'atana midomo...
Hivi unajua Arnold Schwarzenegger na mkewe walikuwa itikadi tofauti za vyama? Au Dr slaa na mkewe unajua walikuwa wawakilishi wa wananchi kwa vyama tofauti?Huyo wa kiume mkubwa mbona simuonangi kwenye maandamano? Au maandamano ni kwa wavaa magunia tu?