Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

Mapenzi sio pesa havina mahusiano

Lakini pesa ni tools ya kuweza ku- survive katika maisha so mapenzi yanaingia kwenye huo uhitaji wa pesa pia kwa sababu Kuna mahitaji ya msingi katika maisha yanayo paswa kufanyika na mnao date ni binaadamu so mnalazimika kuhitaji pesa ili muweze ku-survive ,

But mapenzi sio pesa , that's watu wanasema kama mapenzi ni pesa it means Kila mwenye pesa Kuna mwenye pesa zaidi yake so if mpenzi wako kichwani mwake ana hiyo tafsiri kuwa mapenzi ni pesa siku ikitokea akakutana na mwenye pesa zaidi Yako basi andika umeumia

Pia ingekuwa mapenzi ni pesa Jeff bezos Bill gates wasinge achwa na wake zao

In my life experience mpenzi Huwa hatafutwi Huwa ana kuja mwenyewe analetwa na nature na kufit katika mfumo wako shida ni kwamba watu wengi hawana uelewa wa kulitambua Hilo una weza kumpata mpenzi /Mtu sahihi lakini kwakuwa Hauna Hekima ya utambuzi unashindwa kutambua kwamba huyo ndiye mtu sahihi kwako na ukampoteza Mwisho wa siku unakutana na manyau Yanaanza kukupiga matukio then unaanza kulia Lia , Na pia upendo wa kweli Huwa haukuhitaji utumie nguvu kubwa ili upendo huo uweze ku- exist, Ukiona upo kwenye mahusiano na unaotumia nguvu kubwa ili mahusiano hayo yaweze ku- exist basi ujue bado hujapata mpenzi hapo
Umeeleza uhalisia wenyewe kabisa watu wamekua na mtazamo tofauti wanao pe
 
Kala siku nawaambia wanangu, stop SIMPING and start PIMPING. Huji kuskia PIMPS wanalia na upuuzi kama huo. Yaani una hela, nyumba na gari unakaa unalia ujinga!!!! This generation is cooked
Bro usiseme hivo kila nafasi ina mapendo yake katika nyanja Fulani, usimpangie mtu cha kupenda
 
Hapo umeona ninafosi mpango wowote wa mtu mtu kupenda?? Mbona kama unatumia nguvu kubwa kuuaminisha uma kua "unyonge ni jambo la kawaida katika mapenzi"???

Mnatuharibia nguvu kazi ya taifa nyie
Sawa mwanetu alafu unaweza Kuta ukiwa mbele ya demu wako una kua bwege, ila ukija humu🤣
 
Bro usiseme hivo kila nafasi ina mapendo yake katika nyanja Fulani, usimpangie mtu cha kupenda
Kwani kampangia mtu Cha kupenda aau amespin fact !?

Mwanaume unapo poteza nguvu Yako ya maamuzi /ushawishi/kauli kwenye mahusiano basi Tayari unakuwa umesha yaweka mahusiano Yako kwenye anguko kubwa
 
Back
Top Bottom