Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
- Thread starter
- #21
Nimeambiwa niache utoto sasahivi mbuzi mbuzi hakuna kucheka na mbwa Wala kuonesha nampenda ni amri tu kwenda mbele.Duú kulikon tenaa [emoji23]
Kipi kimekukutaa mkuu
Nimeambiwa niache utoto sasahivi mbuzi mbuzi hakuna kucheka na mbwa Wala kuonesha nampenda ni amri tu kwenda mbele.Duú kulikon tenaa [emoji23]
Kipi kimekukutaa mkuu
Ni Bora nimuache akampate ambaye Hana huo utotoUsimng'ang'anie mkuu, muache aende.
Mimi siwezi kukubalii Huwa nimezoea kushinda.Mkuu tukubali tu yametushinda
Sifokii mkuu naeleza nilichoambiwa nilikuwa namtumia text za mahaba nikaambiwa niache utoto Bado sijakuwa.Kwahiyo hata kwenye kuomba mbususu ntaacha utoto ntamuamrisha Vua nguo mbuzi mbuzi hakuna utoto.
Bora ya wewe sasa Kuna hao ukimtumia text ya kimapenzi anadai Bado hujakuwa.Mi napenda utoto
Jifunze kuwa mindful mwambie alafu jitoe uwe mshabiki uangalie atasemaje usikubali kubebwa na hali yoyote ya maneno yake.Usihukumu chochote atakachosema .kuna mtoto wa mtu nampenda humu ila kumuambia sasa ndio siwezi"domo langu zito"
Kwa ujinga huu ndipo binadamu wengine wanazidi kuongezeka kwahiyo Mimi naweza kusema sio ujinga Bali ni namna watu wanavyoshindwa kuyaheshimu mapenzi na kuita ujinga.Mapenzi sijui mahaba ni kitu flan hiv overated sana.Ni ujinga ujinga flan hiv uliopewa heshima usizostahili.
Mimi ukiona naendekeza mapenzi bas we jua time hiyo sina kazi na sina hela wala ishu ya maana yenye mchango kwenye jamii. Hapo ndio napataga nyege
Hata bila mapenz wala mahaba watu wangeongezeka..inahitajika ngono tuu watu kupeana mimba kisha kuongezeka.Kwa ujinga huu ndipo binadamu wengine wanazidi kuongezeka kwahiyo Mimi naweza kusema sio ujinga Bali ni namna watu wanavyoshindwa kuyaheshimu mapenzi na kuita ujinga.
Unapataje ngono BIla kuonyesha mapenzi sasaHata bila mapenz wala mahaba watu wangeongezeka..inahitajika ngono tuu watu kupeana mimba kisha kuongezeka.
Na ukumbuke ngono sio mapenz wala sio mahaba..
Watu wanabaka/ wanabakwaUnapataje ngono BIla kuonyesha mapenzi sasa
Ahsante ushauri mzuri mkuuJifunze kuwa mindful mwambie alafu jitoe uwe mshabiki uangalie atasemaje usikubali kubebwa na hali yoyote ya maneno yake.Usihukumu chochote atakachosema .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ka
Katika wale maadui watatu WA taifa kaongezeka WA nne UPWIRU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] hajakosea, yaani mtu mzima kabisa unakaa nakutunga text ya kimapenzi, kwani bado upo chuo. Mapenzi kwani umeyajulia leo, hata mimi mwanamke akifanya hivyo nitamwambia aache mapenzi ya chuo na utoto, subiri usiku uko na kadri umri unavyoenda unajiona mjinga kufanya hayo mahaba.Bora ya wewe sasa Kuna hao ukimtumia text ya kimapenzi anadai Bado hujakuwa.
Tunaongezeka kwa kujamiiana siyo mahaba, mwanaume analala na kahaba au malaya ambaye hamna hata mahaba au sijui mapenzi na huyo mwanamke anaweza shika mimba.Kwa ujinga huu ndipo binadamu wengine wanazidi kuongezeka kwahiyo Mimi naweza kusema sio ujinga Bali ni namna watu wanavyoshindwa kuyaheshimu mapenzi na kuita ujinga.
Twende taratibu, Mpenzi wako hua unamtumia sms gani mfano??[emoji23][emoji23][emoji23] hajakosea, yaani mtu mzima kabisa unakaa nakutunga text ya kimapenzi, kwani bado upo chuo. Mapenzi kwani umeyajulia leo, hata mimi mwanamke akifanya hivyo nitamwambia aache mapenzi ya chuo na utoto, subiri usiku uko na kadri umri unavyoenda unajiona mjinga kufanya hayo mahaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio mwanamke wakuanae Kuna mambo matatuBora ya wewe sasa Kuna hao ukimtumia text ya kimapenzi anadai Bado hujakuwa.
Kwanini utume sms huwezi piga simu?Twende taratibu, Mpenzi wako hua unamtumia sms gani mfano??