Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,238
- 22,667
Hilo nalijua na ndo maana nasema ingewezekana labda kungekuwa na njia nyingine ya kuzaliwaUkianza kutafuta kwanza chanzo cha wewe kuzaliwa ni matokeo ya nini hasa utapata jawabu sahihi juu ya mada yako ndugu
Nimependa namna ulivyomalizia kwa ushauri mzuri wa kujenga jamii bora na imara zaidi
Hapo ndo huwa inaumiza kwa kweli na mwenzio unakutaka kashikwa haelewi kabisa niwe mkweli .Mapenzi ni upofu mkuu mapenzi yana siri ndani yake so kuna wakati unaweza jikuta ndugu wako wa damu kabisa unaona anapotea kwenye mapenzi lakini yeye aelewi kitu chochote
Si umeona mkuu mtu sijui anapewa kitu gani mpk anaonga kiwanja tena mchepuko ndio mana waswahili wanasema mapenzi ni upovuHapo ndo huwa inaumiza kwa kweli na mwenzio unakutaka kashikwa haelewi kabisa niwe mkweli .
Mzee wangu kabisa enzi hizo aliwahi kuhonga kiwanja kwa mchepuko wake na nilikuwa najua Mimi tu wakati Niko secondary
Ni kweli nduguHilo nalijua na ndo maana nasema ingewezekana labda kungekuwa na njia nyingine ya kuzaliwa
Kuna watu wamejeruhiwa vibaya mioyo yao na kuishia pasikostahiki sababu kuu ni mapenzi
Na walishaachana zamani na kiwanja huyo mwanamke alishakiuza nae watu wamejenga nyumba hapo tena alikiuza kwa bei ya hasara akaenda pata bia baridiiSi umeona mkuu mtu sijui anapewa kitu gani mpk anaonga kiwanja tena mchepuko ndio mana waswahili wanasema mapenzi ni upovu
Sasa mkuu unataka niseme walivyokuwa wanafanya mapenzi kwani niliwachungulia? HahahNapenda sana kusoma mikasa ya mapenzi ila huu uzi bora ungeweka heading iwe BABA MKUBWA .
Sijaona penzi humu kwenye huu uzi 😂😂😂😂😂
Chura unamuachia naniNikiwa mkubwa sitaki mapenzi
Mkuu ndio mambo yanayotokea kwenye jamii yetu kuna watu wengi sana wamefukuza ndugu na wengine wamediriki hata kukana ukoo kisa mapenziMapenzi sio ujinga bali mpende ataye kupenda ndo utaona sio ujinga.
Yaani unakata undugu kisa mke. Hapo utakuwa hauna akili.
Ukifa atakuzika nani. Vitu vingine bana
Ni kweli ila asilimia kubwa ni utampenda MTU ila yeye yuko kimaslahiMapenzi sio ujinga bali mpende ataye kupenda ndo utaona sio ujinga.
Yaani unakata undugu kisa mke. Hapo utakuwa hauna akili.
Ukifa atakuzika nani. Vitu vingine bana
Nashkuru sana bwana mkubwanimependa hitimisho la ujumbe wako shukrani endelea kushauri
Nami nakazia hayajakukutaHuwa nawaona watu wa ajabu wanaoteswa na mapenzi since nipo chuo nilishawaambia washikaj ktk vitu ambavyo havitokuja kunitesa ni hicho wakabisha Mara ooh hayajakukuta Mara ooh hujapenda
Mpaka sasa nilipo hayajawahi niendesha ni mwendo wa hit and run ukini convince nakaa sana
No offonse
Nami nakazia hayajakukuta