Mapenzi ni ujinga. Yaani ni mambo ya kustaajabisha sana

Hapa kuna kimchepuko nakihonga niko radhi hata nikope pesa lakin kasilalamike daaa hizo pesa ningempa wife angeenda hata kununua nguo za watoto
 
Hapa kuna kimchepuko nakihonga niko radhi hata nikope pesa lakin kasilalamike daaa hizo pesa ningempa wife angeenda hata kununua nguo za watoto
Na bado kanakwambia mbona hela ndogo?
Umetuma na kutolea?
 
Mapenzi ni ujinga kuna faller ananipigia simu kila siku saa 2 usiku kama taarifa ya habari🙄😂
 
Back
Top Bottom